cartels

A cartel is a group of independent market participants who collude with each other in order to improve their profits and dominate the market. A cartel is an organization formed by producers to limit competition and increase prices by creating artificial shortages through low production quotas, stockpiling, and marketing quotas. Cartels can be vertical or horizontal but are inherently unstable due to the temptation to defect and falling prices for all members. Additionally, advancements in technology or the emergence of substitutes may undermine cartel pricing power, leading to the breakdown of the cooperation needed to sustain the cartel. Cartels are usually associations in the same sphere of business, and thus an alliance of rivals. Most jurisdictions consider it anti-competitive behavior and have outlawed such practices. Cartel behavior includes price fixing, bid rigging, and reductions in output. The doctrine in economics that analyzes cartels is cartel theory. Cartels are distinguished from other forms of collusion or anti-competitive organization such as corporate mergers.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    POTOSHI Video hii inasambaa na kuaminika ni ya jeshi la wauza madawa wakitishia serikali baada ya El Mencho kuuwawa

    Jamii Forums naomba mfanye Check ya hii video kubaini ni ya zamani au ya hivi karibuni. Binafsi niliona hii video kwenye post za wazungu kusoma comments nikaona wanasema video ni ya Zamani sana. Lakini cha kushangaza video hii inaendelea kutrend na kuaminika ni ya jeshi la wauza madawa...
  2. Mshana Jr

    Nadharia za wazungu wa unga (Theorem of the cartels)

    Ndoto za mafanikio, ajira, kipato na tamaa za kumiliki mali kwa njia za mkato vimewaponza wengi sana duniani Vimewaponza kwa kupoteza maisha Vimewaponza kwa kupata majeraha na makovu ya kudumu Vimewaponza kwa kupata ulemavu wa kudumu Vimewaponza kwa kupata kesi mbalimbali zikiwemo za mauaji...
  3. R

    Political cartel ndipo tulipofkia

    In the context of politics, a cartel refers to a group of political parties/individuals that collaborate to maintain their power and influence within the political system, often by limiting competition and sharing resources Thekla Mkuchika Benjamin Samwel Sitta Simon Nyakoro Sirro Justice...
  4. ELI COHEN

    Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  5. R

    Video: Arusha imekuwa kama Mexico, kuna vita inaendelea ya Cartels / Magenge ya mirungi wanaporana magunia mchana kwa pikipiki na mapanga

    Mirungu ni Biashara haramu hapa nchini yenye pesa nyingi, bangi haisogelei. Biashara hizi ni za cartels vikundi vilivyojiwekea utaratibu maalum vikiongozwa na madon wakubwa, inapotokea kutoelewana ama kuna wageni wanataka kuingia kwenye soko bila kufuata utaratibu huwa kuna kutunishiana misuli...
  6. Billal Saadat

    "Cartels" zimepata hofu, zinaona mchezo unakaribia kufikia mwisho

    Kinachopigiwa kelele si mkataba maana kuna mikataba ya utekelezaji bado inakuja, kinachowaumiza kiundani ni mnyororo wa thamani pale bandarini vingi watapoteza watu wana makampuni yana secret tenda na TICTS. Ipo kampuni zimekodisha Trekta, ipo kampuni imekodisha forklift hizi kampuni zilikuwepo...
Back
Top Bottom