captain tesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa si project ya Night walk ya Wana usalama Kama Baadhi Ya Member Wanavyopotosha

    Kuna huu uzi nimesoma. https://www.jamiiforums.com/threads/je-captain-tesha-habil-na-kabil-ilikuwa-project-ya-night-walk-ya-wana-usalama.2437201/page-2 Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli. Naomba nijibu kama...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

    Hamjambo! Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao. Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Gen Z akiwatafuta JW wa Captain Tesha Siku ya MO29 ilikuwa noma

  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe CDF alikubali ombi la barua ya Captain Tesha na wenzake

    https://youtu.be/nirLti-Vxt0?si=a_hn41CAuu1SUE0m
  5. JamiiForums Tanzania Captain Tesha awaacha watanzania kwenye mataa

    Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi? Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake? Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku alimkataa Cap Tesha sababu ya ndevu. Haya sasa huyu hapa Mwanajeshi Mzanzibar mwenye ndevu

    Ukiitazama hii video, Wanajeshi wetu wote hawana NDEVU!!. Ila huyu kwanza ana Ndevu ,alafu ni yeye pekeake aliyevaa kitofauti na wenzie . .
  7. R

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha alisema atarudi, sijui meishia wapi? Au alikuja kupata maoni ya watu

    Nilitegemea mpaka muda huu awe amerudi kukamilisha majukumu aliyoyatangaza. Kulikoni? Naona double double...Duble Duble!
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sayansi ya vita na coup d'etat. Swali kwenu

    Kwema? Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi? Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye? Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi...
  9. JamiiForums Tanzania Captain Tesha anaweza kuwa anafanya kazi kambi ya jeshi la anga hapa airport ya Mwalimu Nyerere

    Kwa wale wataalam wa ruti za Dar ukitoka Tazara, kuelekea Airport ya Mwalimu Nyerere, unakutana na kambi ya Jeshi la Anga (Airwing) kabla hujafika Mamlaka ya Anga pale Banana jamaa anaweza akawa yuko zake pale.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini watu wataanza kujilinda kwa Silaha za kuunda majumbani

    Serikali yetu inapenda kukana Tatizo kuwa halipo. Ila wananchi wanataka mabadiliko na wasipoyapata kwenye amani watayatafuta kwenye mazingira tofauti Jiulize wingi wa vyumba chakavu nchini na urahisi wa kupata 3D printers ulivo ongezeka. Hapo chini ni silaha rahisi kutengenezeka
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku ulishauri walikudharau na Wakakupuuza, Leo Capt Tesha kajitoa Muhanga, usitukatishe tamaa, ni heri ukakaa kimya, Watanzania watakudharau

    Mzee bila shaka ulitumia muda mwingi sana kwenye Vyombo vya habari kuhubiri MABADILIKO MABADILIKO . Ulipuuzwa, na wakakuambia Mzee umeshastaafu, kama kwa kutulia. Mzee Butiku kama ni mema ya Nchi hiii umeyala ya kutosha Hadi Sasa unzeeka Sina uhakika kama unaweza kua na miaka 10 ya kuendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Tujadili kijasusi ya Captain Tesha

    Salaam kwenu Wana great thinker. Naomba niwashirikishe kwenye mijadala huu KIJASUSI zaidi kwasababu jamii forum ni hom of great thinkers,hatuchukulii jambo juu juu. Wakuu,Jana,sote tunatambua alijitokeza mtu aliyejitambulisha kama afisa wa JW mwenye cheo Cha captain kwa jina anaitwa TESHA...
  13. JamiiForums Tanzania Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wa UVCCM Wamepata Kigugumizi Kumjibu Captain Tesha the Hero?

    Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote? Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
  15. JamiiForums Tanzania Captain Tesha ameleta taharuki

    "Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu" "Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi" "Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu" "Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni...
  16. JamiiForums Tanzania Trab Trat ( Captain Tesha,) yupo Facebook

    Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings. Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia. Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu...
  17. JamiiForums Tanzania Capt Tesha ni Mwanajeshi Active wa JWTZ, ukweli huu hapa, Wananchi tumlinde na tujitokeze kwa wingi kwenye maandamano

    Watu Wema, Wazalendo, wapenda Haki wamo Majeshini kwetu Tujitokeze Kwa Wingi, Kwa kadiri tutakavyokua wengi, tutawapa sababu Wanajeshi Hawa kusimama na Wananchi!!. Soma Pia: Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea A1 maana yake ni ACTIVE SOLDIER. Zile...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mno watu kushangilia hotuba ya Captain Tesha wa JWTZ katika mitaa ninayoishi. Wengine wameamini JWTZ imechukua nchi

    Ni wazi sana sasa kuwa kumbe wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kupata habari njema za anguko la serikali hii ya CCM. Captain Tesha, askari wa JWTZ alikuwa amesubiwa kwa hamu kubwa asikike... All in all, ni kuwa binafsi sikuwa na hili wala lile. Nimetoka kwenye mihangaiko yangu ya kutafuta...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAUMMA, ACT na CCM mtandao na polisi muda wowote kuitisha press , kujaribu kumponda captain Tesha !!

    Tunaendelea kuwaonya ,Wote wanaotumika kuwakamdamiza Wananchi. Nyinyi mnaojifanya Wasaniii, kuita vyombo vya habari, kujaribu kuwasonga songa watu wanaosimamia Kweli. Jishikilieni Jishikilieni !!.
  20. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema.. "Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…