camillus wambura

Camillus Mongoso Wambura is a Tanzanian civil servant and current Inspector-general of police force in Tanzania. He was appointed by Tanzanian President Samia Suluhu Hassan on July 19, 2022.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    IGP Camillus Wambura: Udhibiti na usiamaizi wa silaha ni jukumu la kila mtanzania, sote tunawajibika kuilinda nchi yetu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. IGP Wambura ameyasema hayo Februari 3, 2026 jijini Dar es Salaam...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 IGP Wambura: Siasa, dini visitugawe Watanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewapa 'somo' Watanzania, akiwataka wasikubali kugawanyika kutokana na sababu yeyote ile, iwe ya kisiasa, kidini au rasilimali. Aidha, amewaomba Watanzania washirikiane na Polisi popote, kuhakikisha nchi inakuwa salama. Wambura...
  3. Msanii

    Fikra Tunduizi: Ukatili wa Polisi dhidi ya CHADEMA unaashiria nini?

    Awamu hii ya sita, hususan baada ya Rais Samia kumteua Wambura kuwa IGP, tumeshuhudia ukatili mkubwa tena wa wazi unaotekekezwa na polisi dhidi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Mara kadhaa tumeona viashiria vya uhusika wa Polisi kwenye utekaji, ulawiti, utesaji na hata vifo vya wanachama wa...
  4. R

    Rais Samia awapandisha vyeo Maofisa watatu wa polisi, IGP Wambura awavisha rasmi kuwa Makamishna wasaidizi waandamizi wa polisi (SACP)

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi...
  5. BigTall

    IGP Camillus Wambura: Rais Samia umefanya mambo ambayo yalitakiwa kufanyika kwa Miaka 50

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  7. P

    PreGE2025 Waziri Bashungwa: Namuagiza IGP Camilus Wambura kuhakikisha wanaomkashifu Rais mtandaoni 'wanashughulikiwa'

    Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora. ===== Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la...
  8. Waufukweni

    LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  9. peno hasegawa

    Ushauri wa bure kwa IGP: Mkoa wa Geita uwe Kanda Maalum

    Hali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya. Kuna ajali za kutisha, mauaji ya Raia, albino, wizi, wahamiaji haramu. Pia vyombo vya habari mkoani Geita vimeshindwa hata kuriporti matukio, kwani matukio ni mengi mno. RPC mkoani Geita, kazi imemshinda na ninashauri iundwe Kanda Maalum. Hali...
Back
Top Bottom