caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  2. JamiiForums Tanzania Ikitokea Yanga kachukua kombe la Caf. Je, atashiriki klabu bingwa au atashiriki CAF ili kulitetea?

    Naomba ufafanuzi juu ya Hilo.
  3. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu CAF

    Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023 1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali. 2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
  4. JamiiForums Tanzania CAF: The final shall be played in two matches, home and away

    Siyo mbaya kwani anayejua anajua tu na hakuna cha nyumbani wala ugenini, ingawaje kiafrika wa nyumbani ana faida kuliko mgeni. Ni barua ya mwaka jana, hakuna kulalamika. “The final shall be played in two matches, home and away. The team which will have scored the highest aggregate number of...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sababu Fainali za CAF Kuchezwa nyumbani na ugenini

    📝Watu wengi Sana wamekua wakijiuliza ni kwanini falinali za kilabu bingwa afrika na zile za shirikisho zinapigwa home and away mpaka Leo na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mfumo huoo ni wa hovyo sana Bora mechi iwe inapigwa moja tu kwenye neutral ground. 📝 Majib ya swali hili na lawama...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

    Hii ni rekodi nyingine kwa kikosi cha wiki cha Caf klabu ya Yanga kutoa wachezaji 7,itabaki na itaishi hii
  7. P

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Updates Half Time Yanga 0-0 Marumo Goal 68" Aziz Ki 70" Yanga 1-0 Marumo Goal 92" Bernard Morison 94" Yanga 2-0 Marumo FT: Yanga 2-0 Marumo Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu...
  8. JamiiForums Tanzania Je semaji la CAF ahmed ally anagundu?

    Jamaa toka apate nafasi mwaka wa pili sasa simba inaambulia patupu Inawezekana anagundu na hivi wanasema anavinasaba vya yanga
  9. JamiiForums Tanzania CAF kuitoza Yanga 82 milioni ni ushahidi kuwa CAF ni shabiki wa Simba

    Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

    =============== Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno) Mfano 2,000 USD (Two thousand US Dollars) 2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian...
  11. JamiiForums Tanzania CAF yailima Yanga faini ya takribani Tshs. milioni 80

    Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi kama milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2. 1. Matumizi ya fataki kwenye mchezo dhidi ya Rivers United ya Nigeria dola 10,000 2. Tukio la basi la timu kuvamiwa kuibiwa pesa...
  12. JamiiForums Tanzania Marumo Gallants wamefikaje nusu fainali CAF? Wako mbioni kushuka daraja

    Picha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja. Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu fainali ya mashindano ya vilabu ya bara husika ikawa kwenye mkia wa ligi kuu ya nchi yake kiasi cha...
  13. JamiiForums Tanzania Ipo siku Yanga ikitwaa CAFCL Simba watasema washatwaa pia hilo kombe, tuweni nao makini

    Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana. Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema simba ishacheza Fainali iliyosemwa almost 2 months ago au hata mwezi mmoja uliopita kama kuna taarfa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

    Kwema Wakuu, Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi. Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
  15. JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

    Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2. Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania CAF Champion league: Raja Casablanca Vs Al Ahly | Updates

    Mpira umeshaanza tayari kila timu zinatafutana
  17. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

    Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 25 wote hawajawahi kuivuka rekodi hii CAF Champions League

    Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998 Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana huishia robo fainali yaani ile ile 8 Bora walioishia Yanga, miaka ishirini na tano sasa
  19. JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  20. JamiiForums Tanzania CAF wanasema simba haijawah fika nusu fainal ya CAF Championship-ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika

    Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…