caf champions league

The CAF Champions League, known for sponsorship reasons as the TotalEnergies CAF Champions League and formerly the African Cup of Champions Clubs, is an annual club football competition organized by the Confederation of African Football and contested by top-division African clubs, deciding the competition winners through a round robin group stage to qualify for a double-legged knockout stage, and then a single leg final. It is one of the most prestigious football tournaments in the world and the most prestigious club competition in African football.
The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup. Clubs that finish as runners-up their national leagues, having not qualified for the Champions League, are eligible for the second-tier CAF Confederation Cup.
Egyptian clubs have the highest number of victories (16 titles), followed by Morocco with 7. Morocco, Egypt, Tunisia and Algeria have the largest number of winning teams, with three clubs from each having won the title. The competition has been won by 26 clubs, 12 of which have won it more than once. Al Ahly is the most successful club in the competition's history, having won the tournament a record 10 times. Wydad Casablanca are the current defending champions, having beaten Al Ahly by two goals to nil in the 2022 final.

View More On Wikipedia.org
  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

    Leo majira ya saa 1:00 usiku, katika dimba la Benjamin Mkapa, Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakuwa wanawakaribisha Vipers Sc katika mchezo muhimu sana. Huu ni mchezo ambao Simba anahitaji alama zote 3 kwa hali na mali ili kujiwekea mazingira mazuri ya...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwana FA mgeni rasmi Simba Vs Vipers, mchezo wa CAF Champions League

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa Afrika kati ya Simba Vs Vipers SC ya Uganda mchezo utakaochezwa Jumanne Machi 7, 2023 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
  3. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Moïse Katumbi, umejisikiaje kucheza na timu kubwa?

    Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu...
  4. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
  5. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Kinyumenyume FC

    Habari zenu, Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school! Yanga leo wameifundisha Simba kuwa mpira unachezeka hadharani. Asanteni.
  6. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Robertinho asema “Tangu nimefika sipajata nafasi nzuri ya kuiandaa Simba, kila wakati ni mechi mechi tu, nipeni muda

    Baada ya Simba kupoteza kwa magolo 3-0 dhidi ya Raja Casablanca, hivi ndivyo Kocha wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho alivyosema: “Nafikiri timu yangu imecheza vizuri lakini ilitakiw akucheza kwa umakini zaidi ya ilivyokuwa, ndivyo mchezo wa soka ulivyo, Raja wamekuwa wazuri kuliko sisi...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Vipers SC Vs Horoya AC | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 18.02.2023

    Its Super Saturday!! Ni banduka bandua katika ligi ya mabingwa Africa leo. Vibonde wa kundi C, Vipers SC ya Uganda leo watashuka dimbani pale St. Mary's Stadium, Kitende kuwakaribisha Horoya AC. Ikumbukwe katika mchezo wa kwanza, Vipers walibugia goli 5-0 dhidi ya Raja Casablanca. Huku...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

    Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani. Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF. Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
  11. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

    Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo. Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC leo majira ya saa 1:00 usiku atashuka dimbani huko nchini Guinea, kuchuana...
  12. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mwakani Simba Sc na Simba Queens tu ndio zikashiriki CAF champions league ili kuepusha aibu kwa taifa

    Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens. Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
  13. Utopologist

    JamiiForums Tanzania 2022/2023 CAF Champions League - Group Stage Draw

    Pot 1 Al-Ahly Wydad Espérance Raja Pot 2 Mamelodi Zamalek Horoya Petro Luanda Pot 3 Simba SC Belouizdad JS Kabyle Al Hilal Pot 4 Al Merrikh Cotton Sport Vipers AS Vita/ RC Kadiogo
Back
Top Bottom