Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Munisi, amesema kukamilika kwa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni fursa kubwa ya kiuchumi itakayogusa maisha ya Watanzania wote, wakiwemo wakazi wa mijini na vijijini.
Dkt. Munisi...