bwawa la kidunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Kidunda: Mradi mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335. Mradi huu ni...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Kidunda kukamilika Desemba 2026

    Msemaji Mkuu wa Serikali, ambae pia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo ndugu Gerson Msigwa katika Taarifa yake ya Msemaji Mkuu wa Serikali ameeleza kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda Mkoani Morogoro ambao umefikia asilimia 50 ya utekelezaji kutaenda kuondoa...
  3. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Serikali iache Uongo. Walisema kufikia Juni 2026 Bwawa la Kidunda litakuwa limekamilika

    Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu mwaka jana walijitapa kuwa bwawa la kidunda litakamilika kufikia June 1 2026 Tena wakijitapa kuwa mradi upo asilimia 40 kwa wakati ule Leo hii ni june lakini ndo kwanza mradi wanasema upo 50% means kwa miezi 7 yote wamejenga 10% tu means kwa hesabu ya haraka...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Bwawa la Kidunda ni mradi wa kimkakati kwa maji, kilimo na nishati

    ‎Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na uhifadhi...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Bwawa la Kidunda ni mradi wa kimkakati kwa Maji, Kilimo na Nishati

    ‎ ‎Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali waridhishwa na kasi ya utekelezaji bwawa la kidunda

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro huku ikisema wana nafasi ya kushauri na kusaidia mambo mbalimbali yakiwemo ya kimkataba. Mradi wa Kidunda unagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 335, unatarajia kukamilika ifikapo Juni 2026...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aweka jiwe la msingi ujenzi bwawa la Kidunda Morogoro

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 335.8 hadi kukamilika kwake. Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kidunda, Wilayani...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro

    Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro. Mradi huu ulikuwepo kwenye mipango ya maendeleo tangu Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 ambapo utekelezaji wake umeanza. Ujenzi utatekelezwa kwa gharama ya Sh. bilioni 336 ambapo hadi sasa...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Ujenzi wa Bwawa la Kidunda (Morogoro) linalojengwa katika mkondo wa Mto Ruvu umefikia 27%

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua ya Asilimia 27, huku mradi ukitarajiwa kukamilika ifikapo Mwaka 2026 kwa gharama ya Tsh. Bilioni...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Mradi wa Maji unaogharimu Bilioni 34.5 kumaliza Tatizo la Maji Ukonga, Ubungo, Kibamba, Segerea na Ilala Mwaka huu

    Dar es Salaam Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amezungumza na Wahariri na Waandishi wa vyombo vya habari Nchini leo tarehe 07 Agosti 2024 kuhusu hali ya upatikanaji wa majisafi na usafi wa Mazingira sambamba na...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Kidunda Kuleta Ahueni Wakati wa Kiangazi Kwa Wakazi wa Dar na Pwani

    SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi Bwawa la Kidunda litakalojengwa mkoani Morogoro na kugharimu sh bilioni 335. Bwawa hilo litakua na uwezo wa kuhifadhi maji kwa miaka mitatu mfululizo. Akiwasilisha taarifa...
Back
Top Bottom