bunge

  1. Bunge live sauti iko chini, je hamtaki tusikie kwa uzuri?

    Mimi niko ofisini ila napenda kufuatilia mambo ya bungeni kupitia chanel ya Youtube ya Bunge, kwa kweli sauti iko chini sana, yaani kwa sauti hiyo hiyo ukiweka mziki sauti inakuwa kubwa inasikia vyema ila ukiweka bunge hata sauti ikiwa 100 lazima mtu asichezesha hata miguu ili kusikia vyema. Je...
  2. Kassim Majaliwa: Watu 155 wamepoteza maisha na wengine 236 wamejeruhiwa kutokana na Mvua za El nino

    https://www.youtube.com/watch?v=xjMIFw1DUyg Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza Bungeli, leo Aprili 25, 2024 ametoa taarifa ya kuhusu mwendendo wa Matuko ya hali ya hewa, athari zake na hatua zilizochukuliwa na Serikali. Amesema mabadiliko ya hali ya hewa...
  3. Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  4. Bunge la Marekani lapitisha muswada wa kuifungia TikTok

    Hivi majuzi Baraza la Wawakilishi lilipitisha mswada ambao unaweza kusababisha kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Marekani. Sheria inamtaka ByteDance, mmiliki wa China wa TikTok, kuuza maslahi yake kwa kampuni ya Marekani ili kuepuka marufuku. Mswada huo sasa umehamia kwenye Seneti, ambako...
  5. Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Baada ya mkwamo wa muda mrefu uliochangiwa na baadhi ya wabunge wa Marekani wenye mahaba na Putin hatimaye bunge la Marekani limepitisha kifurushi kipya cha $billion 60 kwa vita vya Ukraine. Msaada huu mpya kwa Ukraine unajiri baada ya mwaka mmoja na nusu tangu bunge lililokuwa likiongozwa na...
  6. Luhaga Mpina: Teuzi na baadhi ya ajira kutolewa bila kuzingatia ushindani imefanya nchi ipate viongozi dhaifu

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 10, leo Aprili 19, 2024. https://www.youtube.com/live/h8L3SNRSR0U?si=qvKhhc51kozgQi_y Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina amesema Serikali haiwezi kuendelea kuvumilia Wizi, Ufisadi, Rushwa na Mateso kwa watanzania yanayokea...
  7. Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Kennedy Ngondi matatani kwa video ya kulazimisha kumpa mkono na kumkumbatia mwanamke wa kiislamu

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika hafla ya siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo limezua taharuki kutoka kwa wananchi wakitaka spika...
  8. Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, si Utumishi

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=Gp8bHGqD8Pk https://www.youtube.com/watch?v=fgS_7suPjm0 Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, si Utumishi. Amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri...
  9. Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

    Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita. Iran katuacha vinywa wazi jumamosi...
  10. Georgian politician punches opponent in face in brawl over ‘foreign agent’ law

    Georgian lawmakers came to blows in parliament on Monday as ruling party legislators looked set to advance a controversial bill on “foreign agents” that has been criticized by Western countries and sparked protests at home. Footage broadcast on Georgian television showed Mamuka Mdinaradze...
  11. Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema Watanzania wanaliamini Bunge, na kuna vitu vimekuwa vinazungumzwa lakini havichukuliwi kwa uzito wake na...
  12. Waziri Mchengerwa anawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2024/25

    https://www.youtube.com/watch?v=ezJ5n2FzdlY ZUNGU: MGAMBO WANAWANYANYASA MACHINGA NCHI NZIMA Naibu Spika Mussa Azzan Zungu amesem Asilimia kubwa ya Mgambo wamekuwa wakinyanyasa Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) bila kujali wanafanya biashara katika mazingira halali, amesema hayo Bungeni, leo...
  13. Naibu Waziri wa Nishati: Wananchi na Wabunge tembeleeni Maonesho ya Wiki ya Nishati kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita. Naibu...
  14. Wiki ya Nishati imeanza leo Aprili 15 hadi Aprili 19 kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anawakaribisha Wabunge na Wananchi katika Wiki ya Nishati itakayofanyika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 15, Aprili 2024 hadi tarehe 19 Aprili 2024. Hii ni fursa kwa Wabunge na Wananchi kufahamu utekelezaji wa Sera ya...
  15. Massare asema SGR imechukua maeneo ya Watu, Serikali itende haki, iache dhulma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 6, leo Aprili 15, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=51y0PHIx7WU Ripoti 21 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), za ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2022/2023 zimewasilishwa bungeni. Kukabidhi ripoti hizo...
  16. D

    Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
  17. PreGE2025 LGE2024 Serikali, Bunge, Ziheshimu Mahakama! Kwanini Serikali na Bunge Hazijatekeleza Hukumu ya Mahakama kuhusu Ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia ukuu wa katiba na jinsi wakuu wa mihimili, ya serikali, Bunge na Mahakama marais wa awamu zilizopita...
  18. F

    ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

    Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge. Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
  19. R

    Nani anahusika kuratibu na kugharamia wasanii wa DSM kuzunguka kutoa burudani kwenye mkesha wa Mwenge? Hizi fedha zinapitishwa na bunge?

    Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye mkesha wa Mwenge? Je hizi fedha za kuwalipa zinatokana na bajeti inayopitishwa na bunge? Mbona...
  20. Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Anaandika Yericko Nyerere Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu nyuma ambao ni watu wa kuheshimika katika nchi. Kabla sijazungumzia kauli hiyo naomba niwarejeshe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…