The National Assembly of Tanzania (Swahili: Bunge la Tanzania) and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania. The current Speaker of the National Assembly is Job Ndugai, who presides over a unicameral assembly of 393 members.
Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania.
Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
Habari ndugu zangu wa Tanzania.
Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika.
Nina jambo muhimu sana...
Napata wasiwasi kama hili ni Kwa ajili ya wananchi au lipo Kwa ajili ya mafisadi
Leo bunge la Ulaya litaketi kujadili mauaji ya halaiki TANZANIA ila Bunge letu lipo kimya wanakula posho
1. Spika wa bunge huoni ni hatari taasisi kubwa za kimataifa kuifungia nchi misaada na mikopo.
Kwanini...
Huu ni moja kati ya chaguzi ambazo zimekuwa very useless na hasara kubwa kwa taifa. Fikiria wale wabunge waliogonga meza na kupongeza (wengi hiyo ndiyo kazi kuu wawapo bungeni) ufisadi uliofanyika baada ya kampuni ya itel kupewa tenda ya ununuzi wa sukari, Leo hii wanataka kurejea...
Inasemekana ongezeko la ticket kuingia $45 na kutoka $45 jumla $90 kwa kila ticket za wageni na Watanzania wasafirio nchi ni deal ya Abdul na mkurugenzi wa taifa lakini sina uhakika.
Je ni bunge limepitisha hili? Na ni kwanini?
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge...
Taarifa ya Kifo cha Job Ndugai: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Afariki Dunia
“Uongozi ni wito wa kutumikia watu — si nafasi ya kujitukuza.”
Maisha ya Job Ndugai kwa Ufupi
Jina kamili: Job Yustino Ndugai
Tarehe ya kuzaliwa: Januari 22, 1960
Eneo alilotumikia: Mbunge wa Jimbo la...
My Take
Maisha bila Chadema yanaendelea na maandalizi ya Uchaguzi yamepamba moto.
Ukisusia wanakula.
==============
Bunge la 12 la Tanzania limevunjwa rasmi leo kufuatia maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa Juni 27, 2025 wakati akihitimisha shughuli za bunge hilo jijini Dodoma...
Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu.
Bunge la Tanzania.
Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na...
Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi.
Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi??
Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi.
Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
Nilimsikia Mbunge mmoja heti anasema yeye yupo tayari sisi wote tunywe maji ya kisima amesahau ni jinsi gani watanzania maskini wanatekwa naa kuuawa ovyo ovyo bila usalama wowote wengine wana bambikiwa kesi za uongo mabadiliko haya hepukiki sijaona cha msingi hili bunge lilicho jadiri wala hoja...
Kitendo cha Bunge la ULAYA kukaa kujadili mambo yaliyopaswa kujadiliwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake bunge la Tanzania ni useless?
Mhimili mfu?
Au ni bunge linalotumikishwa na mhimili mmoja wapo ?
Bunge la kusifu na kuabudu?
Kama Dar es salaam hii ambapo ni kitovu...
Kwa Mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 na Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge (Sura ya 296)
1. UTANGULIZI
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chombo cha kikatiba chenye wajibu wa kisheria wa kutunga sheria, kuisimamia Serikali na kuwakilisha wananchi...
Rais wa bunge la ulaya kuja Tanzania kuleta azimio kwa serikali na bunge la Tanzania kuhakikisha haki inapatikana ikiwemo uchaguzi huru na wa haki.
Bunge la ulaya limelaani mauwaji ya kiholela, ukamataji watu hovyo wasio na hatia unaofanywa na jeshi la polisi, matukio ya utakaji na uhalifu kwa...
Tanzania ni Sovereign State.
Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.
Tanzania Ina Katiba yake
Katiba imeweka Mahakama huru
Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.
Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao...
Nimekuwa nafuatulia Mabunge mengi hasa yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola,nafuatailia sana Bunge la Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, South Africa na hata nje ya Africa, Ila pia nimekuwa nafuatilia mabunge mengine yasio fuata mfumo wa Jumuia ya Madola kama Rwanda, Burundi, DRC na kadhalika...
Bunge la 12 limepoteza wabunge 10,ndani ya kipindi cha miaka mitano,wastani wawabunge wawili kwa mwaka.
Halu ni hiyo hiyo kila bunge
Wabunge na watia nia hawapendi kusikua habari kama hizi za kutishana
Tuwaombee bunge lijalo asife hata mkoja ili vaada ya miaka mitano tuwaulize wametufanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.