bujibuji simbanyamaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cleverman324

    Biashara ya spare za pikipiki vs biashara ya vipodozi

    Habari wakuu.. ni ipi biashara nzuri zaidi Kati ya spea za bodaboda au vipodozi kwenye mji unaonza kuchangamka...hasa maeneo kama ya kibaha kwa Mathias..mtaji kiasi gani tunaweza kuwa mzuri kwa hizo biashara pamoja na changa moto zake...naombeni msaada hapo
  2. bro alex

    Kwa nilio yaonaga ubunge mgumu

    MWAKA Fulani nilipo KUWA musoma masomoni. Nilikutana na JAMAA MmOJA HAPO shuleni tukisoma WOTE JAPO kombi ziklikua tofauti, ILA bweni tulipangiwa MOJA, Hatukua marafiki SANA ILA tulipenda kupiga STORI za hapa na pale. SIKU moja katika MAZUNGUMZO yetu, JAMAA alinidokeza CHANGAMOTO anazo pitia...
  3. chibe dayo

    Ushauri wenu ni muhimu kwangu tafadhali

    Mimi ni mgeni humu JF naomba ushauri kama kijana wa kiume mwenye kuifikiria kesho yake iliyo bora Nilimalza kidato cha sita mwaka 2021 sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi hazikua nzuri hivyo niliomba kazi katika supermarket x na kupata. Sasa ni mwaka wa 2 nafanya kazi lakini suala...
  4. M

    Mob psychology moja ya tatizo kubwa kwa Jamii ya wa Tanzania

    Habari Wana Jf hope wote ni wazima, niende kwenye mada moja kwa moja. Mob psychology ni Hali jumuishi ya kundi kubwa la watu kuwa na mawazo au mtazamo unao fanana. Kundi kubwa la watu Lina amini kuwa walimu ni watu maskini pia kundi kubwa la watu Lina amini kuwa kusoma hadi chuo kikuu ni...
Back
Top Bottom