buchosa

Buchosa District, is a district in the Mwanza Region in the southern coastal Tanzania. The district is on the south shore of Lake Victoria west of the city of Mwanza and north of the Geita Region. Much of the district is large islands in the lake. The district was established in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. DodomaTZ

    PreGE2025 Meneja wa TARURA - Sengerema ampongeza Eric Shigongo kwa kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara Buchosa

    Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, akiahidi ushirikiano...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Eric Shigongo ajitolea Mitambo kuboresha barabara Buchosa

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amepeleka mitambo maalum kwa ajili ya kuchimba na kufungua barabara zote za mitaa ambazo hazijawahi kupitika kwa urahisi, katika hatua ya kuboresha maisha ya wananchi na kurahisisha shughuli za kila siku za kiuchumi na kijamii. Akizungumzia mitambo...
  3. Just Pray

    PreGE2025 Amos Makalla: Wananchi wa Buchosa msimhukumu mbunge wenu kisa ubovu wa barabara

    Wakuu, Kwakweli hatutakiwi kuwachekea na kuwaonea huruma hawa wabunge, wasiotimiza tunachohitaji wananchi, wanataka tusiwahukumu, ili tuendelee kuteseka huku wao wanateleza na matumbo yao. ==== Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, amewataka wananchi wa Buchosa...
  4. Just Pray

    Shigongo: Hatuwezi kuwa na taifa la pombe na kubet

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote. Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.
  5. W

    PreGE2025 Shigongo: Buchosa ijayo itakuwa ya viwanda na utatii

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha kukerwa na suala la maji ya kunywa kwenye jimbo hilo kusafirishwa kutoka Shinyanga.
  6. W

    PreGE2025 Shigongo: Tupo tayari kupambana na yeyote atakayejaribu kupotosha maendeleo ya Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema hawatamvumilia mtu yeyote ambaye anapotosha kuhusu maendeleo yaliyopatikana chini ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Shigongo ameyasema hayo mbele ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ally Kawaida...
  7. Ojuolegbha

    Kivuko cha MV kome III kuongeza nguvu Buchosa

    KIVUKO CHA MV KOME III KUONGEZA NGUVU BUCHOSA Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) inatekeleza mradi wa ujenzi wa vivuko vipya 6. Kivuko MV.KOME III no moja ya vivuko hivyo na kitakwenda kutoa huduma katika maeneo ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa na Kome Wilayani...
  8. A

    DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  9. Nipe Maji

    PreGE2025 Buchosa: Shigongo aahidi kuwasilisha bungeni ombi la wananchi kupunguza gharama za kuvuta maji ili serikali ichukue hatua

    Licha ya serikali kuboresha huduma ya maji safi hadi vijijini, wananchi wa Buchosa wameiomba serikali kupunguza gharama ya kuunganishiwa maji majumbani, wakisema kuwa ni kubwa na imekuwa kikwazo kwa wengi kumudu huduma hiyo muhimu. Malalamiko hayo yaliibuka wakati wa mkutano wa hadhara...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Buchosa: Makada 8 CHADEMA watimkia CCM, Shigongo amtaka mmoja wao kueleza mateso aliyoyapitia CHADEMA

    Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi zinazotekelezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo. Miongoni mwa...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo atoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa ikiwa ni sehemu ya sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Sukari hiyo imegawanywa na Katibu wa Mbunge, Julias Butogwa...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Shigongo: Tunajenga feri yenye uwezo wa kubeba abiria 800 Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema serikali inakamilisha ujenzi wa kivuko kilichogharimu shilingi bilioni nane, chenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 800 na magari zaidi ya 20 kwa mara moja, kwa ajili ya kusaidia kurahisisha usafiri katika Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Shigongo atoa milioni 10 kukamilisha ujenzi wa Zahanati uliosimama kwa miaka 15 Buchosa

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametoa kiasi cha fedha shilingi milioni 10 kusaidia kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Majengo, Kata ya Ilenza, ambayo ujenzi wake ulikwama kwa takriban miaka 15. Akiwa kijijini hapo Machi 07, 2025 Shigongo amewahimiza wakazi wa Kijiji...
  14. Just Pray

    Serikali yakamilisha ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita

    Wananchi wa Buchosa na Geita hatimaye wameondokana na kero ya usafiri baada ya ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita kukamilika. Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema daraja hilo lilikuwa moja ya changamoto kubwa aliyokuwa akiitafutia...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Eric Shigongo: Miaka mitatu ya Rais Samia Buchosa imeendelea sana

    "Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge nimepokea bilioni 63 za maendeleo, tumejenga barabara, tumejenga vituo vya afya vitano tumejenga sekondari...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Buchosa: Mwenyekiti wa CCM ajinyonga baada ya kukosa pesa ya matibabu

    Buchosa. Maria Ikangila, mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Tawi la Majengo wilayani Sengerema amesimulia mume wake alivyojitoa uhai kwa kujinyonga kutokana na ugumu wa maisha uliosababisha ashindwe kupata matibabu. Hamis Budaga (60), mkazi wa Kijiji cha Majengo, Kata ya Nyakasungwa mkoani...
Back
Top Bottom