The Bangkok BRT is a bus rapid transit system in Bangkok, Thailand. Out of the five routes that were originally planned, only one line has been in operation since 2010, with all the other routes cancelled. At the end of April 2017, Bangkok Metropolitan Administration (BMA) announced the whole system might be cancelled due to low ridership and financial losses, however a subsequent opinion survey carried out by the BMA found there was a demand for the service to be retained. In March 2017 the Governor of Bangkok announced the service would continue, with increased ticket prices and changed operator to Bangkok Mass Transit System Public Company Limited.
The 16 kilometres (9.9 mi) route has twelve stations in the centre of the road that give at grade access to the right hand side of the buses. Both termini connect to the Silom Line of the BTS Skytrain; at Chong Nonsi (S3) and Talat Phlu (S10). The previous fleet consists of Sunlong SLK6125CNG buses, which were replaced by CRRC EV buses on 1st September 2024. The fare is currently on hold (free until new price decided) for reconsideration of the effectiveness of the project.
The system is set for upgrades in 2024, including the addition of 23 electric buses and two additional stations. These changes aim to boost ridership to 13,000 passengers per day. The fare will be capped at 15 baht.
Naona waarabu wanazidi kutambana tu kwenye nchi yetu, kila kitu wanapewa wao sasa.
=================
Kampuni ya Emirates National Group (ENG) yenye makao yake makuu katika Falme za Kiarabu (UAE) inatarajiwa kuanza kuendesha mabasi 177 katika awamu ya kwanza ya Mfumo wa Mabasi ya Mwendo Kasi...
Wakuu.
Lengo kuu la mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam (na Pwani) kwa gharama nafuu salama.
Pamoja na ilo kuu, mengine ni kupunguza msongamano wa magari mjini, kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa kwa hewa ya ukaa (carbon emissions) na kutoa ajira kwa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT-2) pamoja na miundombinu ikiwemo kituo kikuu cha mabasi hayo cha Mbagala Rangi tatu na kituo cha gerezani, jijini Dar es Salaam.
Katika ukaguzi huo, Mheshimiwa...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
🔵 1. Mabasi Yaendayo Kasi (BRT)
Faida:
Gharama nafuu kulinganisha na kujenga reli – barabara za kawaida hubadilishwa tu kuwa njia za BRT.
Utekelezaji wa haraka – BRT inaweza kujengwa kwa kipindi kifupi.
Kubadilika kwa urahisi – Njia za BRT zinaweza kurekebishwa kirahisi ukilinganisha na njia...
Wananchi tunahitaji barabara mbadala zitengenezwe vizuri ili foleni.zipungue tutafukuzwa kazi kwa uchelewaji
Magari yetu yanaharibika sana hamtengenezi njia za kukatisha barabara kwa usahihi.
Nendeni migodini kaombeni.ushauri wa kutengeneza barabara kwa changarawe na udongo. Inaonekana hakuna...
Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar.
Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu.
Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam.
Pia soma > Serikali imekuchukua mkopo NMB ili kumnunulia mabasi mwekezaji wa...
Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)
Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali.
Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma leo...
Mageti ya scanning kwaajili ya kadi ni bora zaidi kuliko kutumia paper tickets?
Nataka nijue changamoto za Mwendokasi na nini kinapelekea kuwepo kwa huduma mbili kwa wakati mmoja, Paper tickets na Card ? Unadhani mradi unaweza tumia scanning mashine pekee ili kuomdoa shida ya usafiri ?
Management ya mradi wa mabasi yaendayo kwa Kasi BRT katika kutekeleza mpango wa 'maboresho', na kinachoonekana kuimarisha mfumo wa ukusanyaji mapato wamekuja na card. Wazo jema kabisa kwani pia hupunguza muda wa mteja kukaa foleni kununua tiketi.
Lakini waliopanga bei ya card hawakuzingatia...
Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya.
Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme.
=================
Baraza la Mawaziri Jumanne, Desemba 17, limeidhinisha ujenzi wa mfumo wa Clean Bus...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC (Output and Performance-Based Road Contract) uliosainiwa rasmi tarehe 07 Septemba 2018.
Mradi huu ni...
Nimeona Senegal wanazindua mradi wa Barabara za BRT ambazo zinatumia Umeme.
Yaani kama hiyo BRT ya Dar ila iwe ni mfumo wa kuchaji/Umeme badala ya diesel.
Kwangu binafsi naona hii ni miradi ya kipigaji na isiyosaidia watu maskini kuongeza kipato Chao badala yake ni upigaji wa wakubwa.
Miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.