brics

BRICS is the acronym coined to associate five major emerging economies: Brazil, Russia, India, China, and South Africa. The BRICS members are known for their significant influence on regional affairs. Since 2009, the governments of the BRICS states have met annually at formal summits. Russia hosted the most recent 13th BRICS Summit on 9 September 2021 virtually due to the COVID-19 pandemic.
Originally the first four were grouped as "BRIC" (or "the BRICs") before the induction of South Africa in 2010. The BRICS have a combined area of 39,746,220 km2 (15,346,101.0 sq mi) and an estimated total population of about 3.21 billion, or about 26.656% of the world land surface and 41.53% of the world population. Four out of five members are among the world's ten largest countries by population and by area, except for South Africa, the twenty-fourth in both.
Members of G20, as of 2018, these five states had a combined nominal GDP of US$19.6 trillion, about 23.2% of the gross world product, a combined GDP (PPP) of around US$40.55 trillion (32% of the world's GDP PPP), and an estimated US$4.46 trillion in combined foreign reserves. The BRICS have received both praise and criticism from numerous commentators. Bilateral relations among BRICS states are conducted mainly based on non-interference, equality, and mutual benefit. The existence of the BRICS grouping does not signify a formal or informal alliance; there are multiple economic, territorial, and political disputes between the five governments.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    BRICS vipi wanaendeleaje?

    Baada ya ziara ya waziri Mkuu wa India huko Israel nimeanza kupata mashaka na Maendeleo ya BRICKS hivi wanaendeleaje huko?
  2. Mcmillan de Maghayo

    BRICS wamsaidie Ayatollah

    Mzuka Wana Jamvi! Hule umoja uchwara wa kiuchumi BRICS ukiongozwa na Russia, China, South Afrika ikijumuisha mataifa mengine uchwara kama Pakistan wamsaidie Ayatollah sasa kiuchumi. Wanachekesha sana eti walianzisha BRICS kumkomoa Marekani. Wenyewe tu njaa licha ya rasilimali walizonazo...
  3. Crocodiletooth

    BRICS Currency Will soon going to challenge Dollar

    They will officially introducing it to members by 2027 BRICS is an alliance of developing nations Their Goal? To allow its member countries to trade among themselves using one shared currency BRICS without converting to the US Dollar. Before now, international trade has been heavily...
  4. L

    Mataifa ya BRICS yaunda mfumo wa ikolojia wa AI huru

    China inaendelea kuongoza katika masuala ya teknolojia ya akili mnemba (AI) ndani ya nchi za BRICS ikiwa na 47.2% ya tasnifu zilizotajwa zaidi za AI na kushika nafasi ya juu katika kuweka hataza za AI kimataifa. Ukiungwa mkono na zaidi ya dola bilioni 150 za ufadhili wa serikali, mkakati wa AI...
  5. Komeo Lachuma

    Brics yaanza kulia lia kumlilia Trump. Nimeshangaa maneno ya Ramaphosa. Asema wao hawataki kushindana na yeyote

  6. Dalton elijah

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amelaani tishio la Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa leo Jumatatu amelaani tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS, akisema juhudi za Trump za "kuuadhibu" umoja huo zinawasikitisha. Trump amekuwa akilishutumu kundi hilo la mataifa 11 -- ambalo pia linajumuisha Brazil...
  7. The Zanzibar Echo

    Mataifa ya BRICS kukemea ushuru wa Trump

    Viongozi wa kundi la madola yanayoinukia kiuchumi ulimwenguni – BRICS wanakutana mjini Rio de Janeiro kuanzia Jumapili. Wanatarajiwa kukashifu sera kali za kibiashara za Donald Trump. Mataifa hayo yanaoinukia kiuchumi ambayo yanawakilisha takriban nusu ya idadi ya watu duniani na asilimia 40 ya...
  8. J

    Ule Muungano wa BRICS kiboko ya Mabeberu, unapumulia mashine. Unakaribia kuvunjika..

    Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka...
  9. L

    Kupanuka kwa kundi la BRICS na kuongezeka kwa pato lake la jumla kunaweza kuleta changamoto kwa mataifa ya Magharibi

    Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
  10. Yoda

    Trump: BRICS imekufa, imesambaratika, wenyewe wanaona aibu kusema tu!

    Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana. Trump anasema BRICS imekufa baada ya kauli yake kuwaambia wakigusia tu kwenye vikao vyao wanataka...
  11. I

    Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  12. I

    Dola ya Marekani inavyonyanyasa sarafu mbalimbali duniani kwa mwaka 2025 na kufanya ndoto ya Brics kufifia kabisa

    Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025. Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi...
  13. T

    Baada ya Trump kutishia kuiwekea vikwazo BRICS kwa kuachana na matumizi ya Dollar, India imesema yenyewe haina mpango wa kuacha matumizi ya Dola

    Nchi za Brics juzi hapa zilikuja na mpango wa kuanzisha sarafu yake na kuachana na matumizi ya Dollar kwenye miamala yao. Wiki iliyopita Trump alitishia kuwawekea vikwazo BRICS kama wataendelea na mpango wao wa kuachana na matumizi ya Dollar. Leo waziri mkuu wa India amesema wao hawajawahi kua...
  14. Bulelaa

    Sarafu mpya ya BRICS ina umiliki wa Nchi moja wapo au ni mfano wa Sarafu ya EURO ya Ulaya? Itashindana vipi na Dollar isiyo na mipaka wanachama?

    Dollar ni sarafu ya Marekani na inayotumiwa na Dunia nzima licha ya kuwepo sarafu mbali mbali zinazoundwa na baadhi ya umoja wa nchi mbalimbali kama Africa Mashariki, Umoja wa Ulaya n.k na lengo moja wapo ni sarafu hiyo itumike kibiashara kwenye nchi hizo Sarafu mpya ya mataifa ya BRICS, ni...
  15. State Propaganda

    Kumbe Uganda ni official BRICS + Partner Country!

    Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members) 1. 🇧🇷 Brazil 2. 🇷🇺 Russia 3. 🇮🇳 India 4. 🇨🇳 China 5. 🇿🇦 South Africa 6. 🇦🇪 UAE 7. 🇮🇷 Iran 8. 🇪🇬 Egypt 9. 🇪🇹 Ethiopia Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries) 10. 🇩🇿 Algeria 11. 🇧🇾 Belarus 12. 🇧🇴 Bolivia 13.🇨🇺 Cuba...
  16. Allen Kilewella

    Kwa nini Russia isiiongoze BRICS kuipinga Israel.

    Russia kwa nini isiitumie BRICS kuipinga Israel na kutumia nguvu ya kijeshi waliyonayo kuiunga mkono ama Hezbollah au Hamas dhidi ya Israel? Maana Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya na washirika wao wanaiunga mkono Israel.
  17. R

    India imekataa Uturuki kujiunga BRICS

    Ni kitu kimeshitusha wengi baada ya India kukataa uturiki kujiunga ndani ya brics, kwa sababu uturuki na Pakistan ni kitu kimoja. Hata hivyo Pakistan nayo iliomba kujiunga ila India ilikataa. https://x.com/TimesAlgebraIND/status/1849545656525803745?t=uHWcI-n4FR2iMTGmlxgAfw&s=19 Hata raisi wa...
  18. L

    Mkutano wa BRICS waonesha mtazamo wa nchi mbalimbali duniani kutopenda uhasama

    Mkutano wa nchi za BRICS ulifanyika mjini Kazan, Russia wili iliyopita ikiwa ni mara ya kwanza kwa kundi hilo kukutana kwa jina la BRICS Plus, ikiwa na maana kuwa uanachama wa kundi hilo umepanuka kutoka wanachama watano wa awali (Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini) hadi wanachama...
  19. L

    Ni kwa sababu gani BRICS inavutia sana Dunia ya Kusini?

    Mkutano wa kilele wa BRICS umefanyika kuanzia Oktoba 22 hadi 24 huko Kazan, nchini Russia, ukiwa ni wa kwanza baada ya kundi hilo kuongeza nchi wanachama, na hivyo kufuatiliwa sana na jamii ya kimataifa. Kundi la BRICS, ambalo ni kifupi cha majina ya nchi zinazoibuka kiuchumi na senye matarajio...
  20. The Loyalty King

    Putin ni cancer Kwa USA na washirika, Brics Yazidi kuchanua Mabawa

    Wakuu Habari Nilikuwa huko Twitter (X) na katika kupita pita kwangu nikakutana na hii habari ya Iran kuungana rasmi na umoja wa mataifa yaliyopo katika muungano wa Brics , kubwa zaidi lilo nivutia sio Iran Tu kuwa mwanachama wa Brics kumbe kuna mataifa kibao ambayo na yenyewe yapo katika...
Back
Top Bottom