bonyokwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Jimbo la Segerea: Bonnah Kamoli (CCM) akusanya taarifa za wapigakura kwa bodaboda na akina mama Bonyokwa

    Leo mishale ya saa 7 mchana nimeona kundi kubwa la akina mama hapa Bonyokwa wakiwa wanazingira kwenye ukumbi wa Masia, katika kufuatilia zaidi kumbe mgombea ubunge jimbo la Segerea, bibie Bonnah Kamoli alikuwa amewaita ili kuungwa mkono kwa kuwapa elfu 5 na zawadi nyingine ndogondogo Wakati...
  2. sanalii

    Fun thread: Wavaa kobaz vs wayahudi wa bonyokwa

    Huu sio uzi wa chuki wala kejeli, ni namna ya kutazama haya makundi mawili hapa jamiiforums ambayo, wao huwa wanaangalia kigezo cha dini tu, yani yuko radhi usiku aite mchana ili kutetea upande wake. Ukichukulia haya mambo serious unaweza kuumwa kichwa, haya makundi ni special na sio ya kuyapa...
  3. ELI COHEN

    Wayahudi wa Bonyokwa huku ni vigere vigere na vifijo 🎉

  4. A

    Bonyokwa; Kijana wa familia akutwa amejinyonga chumbani kwake, aacha barua

    Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
  5. A

    Wanandoa waliouawa kwa kuchinjwa waagwa kwenye makazi yao Bonyokwa, difenda ikikatiza mtaani

    Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam. Wanandoa hao, Antony Ngaboli (46) na mkewe, Anna Amiri (39) ambapo mwanaume inaelezwa alikuwa...
  6. Just Pray

    Mke na mume wakutwa wamefariki chumbani kwao Bunyokwa, Polisi yasema inachunguza tukio hilo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limesema linachunguza mauaji ya Mume na Mke ambao ni Anthony Hillary Ngaboli(46) na Anna ambao wamekutwa wakiwa wamefariki chumbani kwao katika nyumba yao iliyopo Mtaa wa Bonyokwa Kata ya Bonyokwa, wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam. Kamanda wa...
  7. A

    Mfanyabiashara na mkewe wachinjwa kikatili Bonyokwa, watoto wagundua asubuhi!

    Ni unyama na ukatili wa kutisha! Asubuhi ya leo Alhamisi, Juni 12, 2025, maeneo ya Bonyokwa wilayani Ilala jijini Dar, wanandoa ambao majina yao hayakupatikana mara moja, wamekutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili na kitu chenye ncha kali! Kwa mujibu wa vyanzo, tukio hilo limetokea usiku wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi (KM 7) Waanza Rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
  9. Mhaya

    Hakuna Cha ‘Pray for Israel’ au Iran - Wacha Wapigane Hadi Wachoke! Mpalestina wa Buza na Muisrael wa Bonyokwa kaeni kwa kutulia

    Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida. Kwa nini? Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
  10. Pdidy

    Mkandarasi Kimara Bonyokwa kaishia wapi? Wekeni sawa wananchi inasikitisha sana

    Wakati wanatangaza kuhusu ujenzi wa hii barabara niliwambia watu kitu. Anyway na ndicho kinachoendeleaaaa Ile barabara walivunja frame za watu zaidi ya 100 na nyumba za watu kadhaa wakishauriwa wengine kuvunja wenyewe. Katika kuwaweka sawa wananchi mkandarasi akaja na magari ya kukwangua...
  11. A

    KERO Huyu mtu amekuwa hatari kwa kuwafanyia watu vitendo vya kikatili hapa Bonyokwa

    Kuna mtu anaitwa Pius hapa Canada Bonyokwa amekuwa akiwafanyia vitendo vya kikatili watu tofauti tofauti Hwa anawakamata bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu. Anachojivunia yeye kuwa ni mgambo pale Staki Shari hata ukienda kushtaki kesi yake inakuwa yako Tunaomba mamlaka husika zitusaidie...
Back
Top Bottom