bongo flavour

In British English, Bongo Bongo Land (or Bongo-bongo Land) is a pejorative term used to refer to Third World countries, particularly in Africa, or to a fictional such country.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 bongo flavour, Dj ana kisa na Irene Uwoya na wenzie?

    Walipopanda jukwaani Irene Uwoya, Kajala, Aunt Ezekiel na Jaqline Wolper waliwekewa ule wimbo 'nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe'...kweli baada ya pale nawaona hawa kama wakongwe wenzangu. Kweli wamekula chumvi na sio wadogo kama wanavyotudanganya bali wanasaidiwa na filters na makeups
  2. JamiiForums Tanzania Tamasha la bongo flavour honours ni la kibaguzi na kimkakati

    Wakuu I salute you kinsmen. Hilo tamasha la fid Q na madee naona wasanii wakongwe baadhi wanalalamika kuwa hawajaitwa au kubaguliwa ikiwa sifa walikuwa nazo. Sawa hawawezi kuitwa wote ila kwanini mpaka walioomba nao hawakuitwa? Makamua anadai aliomba kuitwa akampigia madee ila akaambiwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Huu utamaduni wa wasanii wa Bongo Flavour kutoboa pua na masikio na kuchora Tattoo: Ni Ushamba au Ujanja?

    Mimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour. Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia. Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 13 Bila Albert Mangweah: Bongo Flavour Artists wamejipangaje kumuenzi 2026

    28 Mei 2013 Msanii Maarufu enzi hizo wa Bongo Flavour alitutoka Duniani akiwa kwenye Matibabu huko nchini Afrika Kusini. Wasanii wa Bongo Flavour wamejipangaje kumuenzi? Naona kimya sisikii watu wakimzungumzia namna ya kumuenzi mwaka huu wa 2026. Kwangu Binafsi nitamkumbuka kwa nyimbo ya ni...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Bongo Flavour Wakosolewa kwa Kukaa Kimya Kuhusu Mauaji ya raia wasio na hatia

    Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao kutoa nyimbo za kulaani vitendo vilivyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya raia wasiokuwa na hatia...
  6. JamiiForums Tanzania Bongo flavour love songs tano nizipendazo za wakati huo..

    Huyu bidada kwenye hii alijua kunivuruga!, lala salama huko ulipo!. Hii R&B hapa bongo binafsi kwangu ndio best R&B ever!, mpaka sasa sijaona mpinzani kuanzia beat mpaka mashairi heko kwako kabaisa. Hehe!, Huyu mwamba na hii ngoma yake aliifanyia haki stahiki haichuji ni utachuja umri tu ila...
  7. JamiiForums Tanzania Mhhh! Utofauti kati ya kutabasamu na kukenyua

    Sina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua. Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  10. JamiiForums Tanzania Wadau wanakumbuka kweli mchango wa Mr. Nice kwenye kuikuza Bongo Flavour?

    Hivi watu wanakumbuka mchango wa huyu mwamba katika Entertainer ya bongo flavor au ndio kila mtu ale urefu wa kamba yake?! 😂 Wanamuita Lucas Mkenda au “Mr Nice” #Legendary
  11. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya dhati ya Mama Dangote kwa Diamond ndio chanzo kikuu cha mafanikio ya mwanaye

    Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na anayoendelea kuyapata bwana Nasib. Wapo wanaosema ni Freemason, ni mganga wa Morogoro, ni Majini...
  12. JamiiForums Tanzania Couple hizi zitavunjika

    Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao yamekuwa ya mashaka sana. Hawa mastaa wafwatao wa bongo mahusiano yao yatavunjika na sababu za...
  13. JamiiForums Tanzania Sio kila ndio ina ukweli kiundani kuna baadhi ya ndio zaambatana na utani

    Jamii Hip #0p wozaa Nadhani sina haja ya kusema mengi kwani kuna baadhi ya mambo yanafanana na utani. Mambo yenyewe ni msanii kulalamika kuibiwa mistari. Msanii ni mtu muhimu sana katika jamii yeye anafanya kazi sawa na watu wa dini na mizimu kwa namna yake. Mtu msanii hutumiwa na jamii kama...
  14. JamiiForums Tanzania Historia Na maana ya Bongo Fleva

    Bongo Flava ni jina Mbadala la muziki wa Hip hop ya Tanzania. Mtindo huu ulianzishwa kwenye miaka ya 1990, hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa hip hop kutoka Marekani, ikiwa na ongezeko la athira ya muziki wa reggae, R&B, afrobeat, dancehall, na mitindo ya asili ya Kitanzania kama vile taarab...
  15. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati sahihi wa kurekebisha game yetu ya Bongo Flavour

    Asalaam alaikum ndugu zangu, habarini za usiku. Kwanza poleni na majukumu yenu ya siku nzima na Mungu awape nguvu na afya za kuwawezesha muamke mkiwa fit katika majukum yenu ya kujenga Taifa. Kuna msemo unasema "ACHA INYESHE TUONE PANAPO VUJA"Kinacho endelea mitandaoni hizi siku mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…