Bondia Canelo Alvarez amefanikiwa kumpiga Gennady Golovkin katika pambano la uzito wa kati (Super-middleweight) lililofanyika Las Vegas, Marekani, asubuhi ya leo Septemba 18, 2022.
Ameshinda kwa pointi 116-112, 115-113, 115-113 ikiwa ni pambano la pili kwa Golovkin kupoteza katika maisha yake...