bolt

The BOLT Browser was a web browser for mobile phones including feature phones and smartphones that can run Java ME applications. The BOLT Browser was offered free of charge to consumers and by license to Mobile network operators and handset manufacturers. BOLT was produced by Bitstream Inc., the company which previously produced the ThunderHawk for Mobile network operators and handset manufacturers.
BOLT was originally introduced into private beta on January 15, 2009 and was made available to the public on February 16, 2009 when the public beta was announced at Mobile World Congress in Barcelona. BOLT supported Java-based handsets with Java MIDP 2 and CLDC 1.0 or higher. BOLT also has specially optimized version for BlackBerry smartphones and worked with Windows Mobile and Palm OS devices that employ a MIDlet manager or Java emulator. BOLT was built using the WebKit rendering engine to display a full Web page layout as found on desktop web browsers.
In December 2011, BOLT Browser was discontinued and all installs were rendered useless.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  2. vanus

    Biashara ya bolt jijini Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu. Nina gari aina ya Toyota i.s.t nataka niifanyie biashara ya bolt hapa mjini kama kazi ya ziada. Swali langu ni kwamba, naweza kufanya biashara ya bolt kwa kutumia gari yenye plate number ya njano? Kama nilivyosema ni kazi ya ziada tu nikiwa free. Kama itawezekana kuendesha...
  3. W

    Madereva wa Bolt waandamana kwenye ofisi za kampuni hiyo kupinga ongezeko la ofa wanazopata wateja

    Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja. Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
  4. Clack-Sniper

    Mchanganuo wa bolt na Gari ya Aqua

    Habari wataalamu wa Magari humu ndani. Hivi karibuni nimetaka kufanya utafiti wa kutumia gari ya Toyota aqua Hybrid kwa ajili ya Bolt, Nafanya part time tu. kwa siku kama 10 nimepata mapato kama hayo hapa sijaweka gharama za service. Mwenye uzoefu wa kutumia gari ya Gesi na mafuta, kama...
  5. Mad Max

    Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

    Nisiwachoshe. Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara. Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8. Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus...
  6. Think2

    Dada, usiwaamini madereva Bolt

    Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi. Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
  7. Jackpiano

    KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

    Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo...
  8. A

    KERO Madereva wa Bolt, Uber etc waache kulalamika na kususia wateja wenye BONUS

    Ukirequest; anakuuliza kwako imesomaje? Badala ya kukujibu nakuja au karibu. Hii si sawa, ikumbukwe sisi hatuombi hizo bonus wanazitoa wao wenyewe. So kama bonus inafanya tukose hudumu bora zifutwe. Au ukifika destination anaanza kuomba aongezewe nauli tofauti na kilichoandikwa. Waelimishwe...
  9. B

    Uber Bolt

    Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
  10. B

    Dereva Uber na Bolt

    Dereva Uber/Bolt Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
  11. Nehemia Elias

    Natafuta gari ya kufanyia Uber and bolt

    Mimi ni dereva mwenye uzoefu, nimeendesha tax mtandao(uber and bolt),natafuta gari ya kazi iwe hesabu au mkataba, nipo tayar mda wowote kwa yeyote mwenye gari ndogo, karibu tufanye kazi Mawasiliano: 0698789184
  12. S

    Natafuta gari ya hesabu ( bolt na uber )

    natafuta gari ya hesabu ( bolt n uber ) na uzoefu wa miaka mi tatu na vigezo vyote na leseni no zangu ni 0699448532
  13. village66

    Mimi ni dereva wa BOLT na UBER Natafuta gari ya hesabu

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
  14. mlinzi mlalafofofo

    Nini kinafanya taxi kuwa na bei juu kuliko wasafirishaji wenzao wengine kama bolt bajaji

    Kwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama...
  15. Mamtolo

    Msaada kuhusu kujiunga na Bolt Driver Location Dodoma

    Nipo dodoma, nina kigari ambacho nataka nikipigie mishe za Bolt ili kujipatia vijisenti vya hapa na pale maana hali ni ngumu kiukweli. Kama kuna mtu anaweza kunifanyia mchakato nikapata akaunti ya Bolt driver,tuwasiliane. Gari nlonayo ni private(namba ya njano) sio ya biashara (namba nyeupe)
  16. B

    Toyota Rumion inaweza kitumika kama gari ya bolt?

    Wakuu, nipeni ufafanuzi juu ya hii gari Kwa matumizi ya bolt inafaa?
  17. Waufukweni

    Madereva zaidi ya 40,000 wafungiwa na Bolt, wapo wa makosa ya uhalifu

    Kampuni ya taski mtandao Bolt imeweka bayana madereva zaidi ya elfu arobaoni (40,000)wamefungiwa akaunti zao kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo makosa ya uhalifu. Hayo yamebainishwa na Dimmy Kanyankole Meneja wa Bolt Tanzania wakati akibainisha jinsi kampuni hiyo ilivyowekeza pesa nyingi...
  18. J

    Nikihitaji kujiunga na Bolt au Uber wastani Shilingi ngapi kwa siku naweza ingiza?

    Habari, ningependa kufahamu nikiwa mmiliki wa pikipiki Dar es salaam na nikahitaji kujiunga na Bolt au Uber wastani tsh ngapi kwa siku naweza ingiza. Pikipiki yangu na naendesha mwenyewe. Kuna gharama zipi za uendeshaji pia.
  19. N

    Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu Mawasliano +255767630088
  20. L

    Dereva Bolt natafuta kazi

    Heri ya mwaka mpya, kwa majina Naitwa Christian naishi Dar es Salaam, Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti nan passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0698568933. Heri ya...
Back
Top Bottom