bodi

Business Objects's Data Integrator is a data integration and ETL tool that was previously known as ActaWorks. Newer versions of the software include data quality features and are named SAP BODS (BusinessObjects Data Services).
The Data Integrator product consists primarily of a Data Integrator Job Server and the Data Integrator Designer. It is commonly used for building data marts, ODS systems and data warehouses, etc.
Additional transformations can be performed by using the DI scripting language to use any of the already-provided data-handling functions to define inline complex transforms or building custom functions.
Data Integrator Designer stores the created jobs and projects in a Repository. However, Data Integrator Designer also facilitates team-based ETL development by including a Central Repository version control system. Although this version control system is not as robust as standalone VCSs, it does provide the basic check-in/check-out, get latest, version labeling and undo checkout functionality.
The DI Job Server executes, monitors and schedules jobs that have been created by using the Designer.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania BODI YA LIGI mkiachana na Gas detector tunawaomba mbia muweke kitengo maalumu cha kufanya Doping test.

    Habari wana Jf. Nimeisikia taarifa ya bodi ya ligi kuhusiana na mpango wake wa kuweka Gas detector katika mechi ya watani wa jani siku chache zijazo. Nawapongeza kwa hilo. Wito wangu kwao ni kuweka kitengo kitakachoshughulikia masuala ya doping test ili kupima matumizi ya madawa yaliyopigwa...
  2. JamiiForums Tanzania RC Ruvuma azindua Boti ya Uokoaji yenye thamani ya Tsh. Bilioni 1.5

    Serikali imezindua na kukabidhi boti maalum ya uokoaji na kuzima moto yenye thamani ya Sh bilioni 1.5, ikiwa ni hatua ya kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga katika Ziwa Nyasa. Boti hiyo ina injini mbili zenye nguvu ya Horse Power 250 kila moja, uwezo unaolenga kuimarisha kasi na ufanisi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum) 2026

  4. JamiiForums Tanzania Bodi ya filamu; Wamiliki wa video library wasajili biashara za kabla ya tarehe 30/9

    Bodi ya Filamu Tanzania imewakumbusha wamiliki wa Maktaba za Video (Video Library) nchini kuhakikisha wanasajili biashara zao na kuhuisha leseni zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za filamu. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na bodi hii leo Septmba 12, 2026, Bodi imeeleza kuwa ni kinyume cha...
  5. JamiiForums Tanzania Sakata la Bodi ya Mikopo dhidi ya Nicholaus Komba

    Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodi ya Ithibati fuatilieni Taasisi za Wanahabari (Press Clubs), Waandishi wengi ni “Makanjanja” hasa Mara

    Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya juu lipeni refund za wateja wenu,acheni ufisadi ,mnaichafua serikali .

    Kulingana na shida mbalimbali za watumishi wamekua wakiuza madeni yao ta bodi benk tofauti tofauti,miaka ya nyuma bodi iliweka kiwango cha juu na kulipwa na bank mfano NMB, Inapolipwa bodi inakuja na statement ya kiasi unachodai kama ziada iliyolipwa na bank NMB au CRDB,Kisha inakwambia andika...
  8. JamiiForums Tanzania Meneja NHC K'njaro Juma Kiaramba aula,ateuliwa mjumbe Bodi ya Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa anga(TCAACCC)

    Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu "Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Anga Tanzania. 'Tanzania Civil Aviation Authority - Consumer Consultative Council' (TCAA...
  9. JamiiForums Tanzania Mchezaji Mpya wa Simba Afungiwa na Bodi ya Ligi na kutozwa Faini

    Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya Ligi Kuu. Jaabar ametozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) na adhabu ya kadi nyekundu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kumekuwa na changamoto kubwa kwa Wazalishaji wa mbegu wa ndani, na hivyo wengi kuagiza kutoka nje

    Imekuwa changamoto kubwa kwa wazalishaji wa mbegu wa ndani na wakulima wa Tanzania. Inawezekanaje jukumu la msingi la taasisi husika kutotekelezwa ipasavyo? Wazalishaji wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kupata mbegu za vizazi kutoka mamlaka husika kwa ajili ya kuzalisha mbegu za...
  11. JamiiForums Tanzania Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo." "Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbona hii V8 ya Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho inatumika kwa shughuli binafsi ikiwemo kubeba mkaa na cement

    Kwa zaidi ya mwaka mzima sasa gari ambayo inatakiwa kutumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kwa ajili ya shughuli za kiofisi badala yake imekuwa ikitumika kwa shughuli binafsi nyingi ikiwemo za masuala ya shamba. Gari hilo lenye namba za usajili SU 42509...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM kulipwa ‘Boom’ mara 2 kisha kuwekwa mahabusu ili walipe, Bodi ya Mikopo yasema waulizwe CRDB

    Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika. Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
  14. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Hivi haya masharti ya Bodi ya Ithibati ni kwa Media za Dar na zile kubwa pekee?

    Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha. Wale wenye sifa stahiki inaonekana kama watakuwa na gharama kubwa, na kwa kuwa Wazee wa JAB wenyewe ni kama...
  15. JamiiForums Tanzania DEGREE AU MITIHANI YA BODI

    Habarini wakuu. Msaada kidogo. Nina elimu ya Diploma ya ugavi na manunuzi. Sasa nataka kurudi kusoma,ipi nianze nayo niende kusoma shahada alafu baadae nimalizie mitihani ya bodi au niingie kwenye mitihani ya bodi moja kwa moja na shahada niachane nayo? Wazoefu ninaomba ushauri
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) tumesaini ada bodi ya mikopo mpaka sasa Leo 1-07-2026 hazijawekwa kwenye mfumo wa matokeo

  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Aweso chunguza 'Bodi za Maji za Mabonde', hasa ile ya Ziwa Victoria. Wachache wanajineemesha kwa kigezo "Wapo karibu na Waziri"

    Hellow JamiiForums team, nimeona hiyo post ya Mamlaka ya Maji Igunga, nami nina jambo la kumshauri Waziri Aweso, asiishie hapo tu, pia kuna hizi Bodi za Maji za Mabonde, na zenyewe zichunguzwe sana tena sana. Mipango kazi haitekekezwi na kama kutekelezwa ni kidogo sana, fedha zinatafunwa...
  18. JamiiForums Tanzania Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya mwenyekiti wa bodi ya simba yabainisha hali ilivyo Simba

    🚨Magori anasema Barker alisema Uza. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Crescencius Magori, amefichua siri nzito ya jinsi klabu hiyo ilivyolazimika kufanya biashara ngumu ya kuwauza mastaa wao watatu, Jean Charles Ahoua, Kibu Denis, na Steven Mukwala, wakati wa dirisha dogo la...
  20. JamiiForums Tanzania Watafiti wa Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) wapanga kuja na mwarobaini wa kero ya Maji Dar na Pwani

    UTAFITI uliofanywa na Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) umeonesha kuwepo wa maji lita bilioni 21 za maji chini ya ardhi zitakazotumika kama mbadala wakati wa kipindi cha ukosefu wa maji katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani. Hatua hii muhimu ya WRWB ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…