bluetooth

  1. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu simu yangu haisomi line ,na wi-fe,hotspot, Bluetooth haziwaki

    Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka suggest ni flash nimekuja kwenu wajuzi njia mbadala kabla ya iyo kuflash Note Simu haisomi kabisa ina...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bluetooth mouse

    Kama kuna mtu ana mouse ya bluetooth au anajua wanaponiuza,anisaidie tafadhali. Nina shida nayo. Hata ikiwa ya kurecharge ni sawa tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata wakizima Mtandao tutawasiliana. Jinsi ya Kuwasiliana kwa Bluetooth, Kwa njia ya Mesh Network

    Tuna faida kubwa kuliko wakati wowoteโ€”ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card. Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
  4. JamiiForums Tanzania Mr Electronics: Jipatie vifaa vya kielectronic kama Computer ,Sound Sustems, phone accessories pamoja na vingine vingi kwa bei ya Store

    Tunauza: ๐Ÿ’ป Kompyuta (Desktop & Laptop โ€“ mpya & used) ๐Ÿ–ฅ๏ธ Vifaa vya kompyuta (keyboard, mouse, monitor, printer n.k) ๐ŸŽง Sound systems (speakers, home theaters, Bluetooth systems) ๐Ÿ”Œ Accessories mbalimbali (USB cables, screen protectors, covers,adapter,Air pods,headphones n.k) โšก Vifaa vya umeme vya...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Bluetooth itareplace matumizi ya Internet na network kwenye mawasiliano kwenye nyanja zote

    Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet Kabla ya hii humanoid project (hii ambayo tupo kwa sasa) wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate...
  6. JamiiForums Tanzania Audio bluetooth receiver kwa bei poa

    ๐Ÿ“ข Wireless Audio Receiver - Earldom M73 ๐Ÿ’ฝ Portable USB Wireless Audio Music Receiver ๐ŸŽถ Badilisha redio au spika yako kuwa ya kisasa kwa kutumia hii adapter ya Earldom M73! Inakuwezesha kucheza muziki kutoka kwenye simu yako kwa njia ya Bluetooth bila waya! โœ… Inafaa kwa magari, redio za...
  7. JamiiForums Tanzania Tunauza Bluetooth Karaoke Speaker

    Sasa unaweza kuimba nyimbo zako uzipendazo popote ulipo!โœ… Spika hii ya kisasa inaunganishwa kwa Bluetooth, kipaza sautiโœ… sauti safi yenye bass ya nguvu.โœ… Ni ndogo kwa ukubwa, lakini kubwa kwa ubora!โœ… Inafaa kwa matembezi, au mazoezi ya nyumbaniโœ… Rahisi kubeba na rahisi kutumia.โœ… Tsh 50,000/=...
  8. JamiiForums Tanzania Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani

    Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani -Haitumii wino wala haijazwi wino -Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote. -Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
  9. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuunganisha bluetooth ya simu!

    Leo ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ณ๐˜ข๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ต๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜น๐˜น๐˜น ๐˜•๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข ๏ฟฝ ๐˜ฑ๐˜ญ๐˜ข๐˜บ ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏi๐˜ฃ๐˜ช๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ฆ ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช 100 ๐˜ญa๐˜ฌi๐˜ฏi ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฐ ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ต๐˜ช.., ๐˜ฏ๐˜ฅi๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ญ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฉ ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฎ๐˜ถ ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ.. ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธa ๐˜’๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ช๐˜ท๐˜ฐ ๐˜ด๐˜ช๐˜ซ๐˜ข๐˜ณ๐˜ถ๐˜ฅi ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏi...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Harman Kardon Onyx Studio 6 Wireless Bluetooth Speaker 190,000

    Harman Kardon Onyx Studio 6 Wireless Bluetooth Speaker - IPX7 Waterproof Extra Bass Sound System sauti na mdundo mtamu Call 0628 880 380 190,000tsh tu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Subwoofer kusumbua kwenye bluetooth

    Subwoofer yangu naona inashida. Nikiwasha upande wa bluetooth inalia alafu inaacha kutoa sauti wakati bluetooth bado inaonekana imeunganishwa. Sijajua ni kwa sababu gani, mwenye ujuzi anisaidie tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Speaker inauzwa kwa bei nafuu

    Wana jamiii naitupa hii kwa bei ya kitongaaaaaa VIDVIE SP 908 SPEAKER ๐Ÿท๏ธ 250.000/= BLUETOOTH โœ… PORTABLEโœ… MICโœ… Kwa mawasiliano zaidi Tupigie normal calls / wasap - 0659588492 Tupo kariakoo aggrey na ndanda Pia unaweza kuuliza speaker nyingine Tunazo nyingi aina tofauti tofautu sana Karibuni wakuu
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu historia ya neno "Bluetooth"

    HISTORI YA NENO BLUETOOTH. Teknolojia tunayoijua kama Bluetooth imepata jina lake kutoka kwa Harald Bluetooth, mfalme wa Viking aliyeaga dunia zaidi ya milenia moja iliyopita. Kama vile alivyounganisha vikundi vya Denmark na Norway, teknolojia ya Bluetooth inaunganisha vifaa mbalimbali vya...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kwenye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  15. JamiiForums Tanzania Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kweye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke andika neno BLUETOOTH, mwanaume reply CONNECTED, mwanamke kama umemwelewa jamaa reply SUCCESSFFULLY

    Tutapata date za kumalizia mwaka, haya twende kazi... Sema JF Bluetooth ziko chache sana
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

    INTRODUCTION Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi. โ€ŠPROBLEM Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu? SCENARIO Unataka kunielewa? Twende pamoja.... 1. Upo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wireless (Bluetooth) Earbuds Earphone

    Wireless Earbuds -Touch sensor -Waterproof Price: 20,000/= Contact: 0713722679 au 0753411316 Delivery: Free around Dar es salaam City Centre
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulinda kifaa chako cha elektroniki

    ZINGATIA: Zima 'Wi-Fi' na 'Bluetooth' wakati unapokuwa hutumii. Kufanya hivyo itakusaidia kutounganishwa na mitandao isiyo salama pamoja na kutunza chaji kwenye kifaa chako cha elektroniki
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bluetooth Mp3 player zinauzwa hapa, badili radio yako kuwa ya kusasa zaidi

    Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa. Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio zinapiga sana lakini kama ulinunua kitambo utakuwa unamiss flash na Bluetooth. Subwoofer za zamani zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ