biteko

Doto Mashaka Biteko (born December 30, 1978) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Bukombe in 2015.
He was appointed as the Minister of Minerals on 9 January 2019 by President John Magufuli. He continued his tenure as the Minister of Minerals under the new president Samia Suluhu Hassan until 31 August 2023. On 1 September 2023, he was promoted in the role of Vice Prime Minister of Tanzania, only the third ever person to hold the title. At the same time, he was given the docket as the Minister of Energy.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Dkt. Biteko aitaka EWURA kupima uhusiano wa Rasimali na mabadiliko ya Maisha ya watu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafuta kwa mwaka 2022/2023 ambapo ametoa maelekezo mahsusi kwa Wizara na Taasisi mbalimbali kufanyia kazi taarifa hizo zinazoonesha mafanikio na changamoto katika...
  2. Suley2019

    PreGE2025 Biteko: Msing'oe bendera ya chama chochote. Bendera hazipigi kura

    Msing'oe bendera ya chama chochote, bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika mkutano wa hadhara jimboni bukombe mkoani Geita.
  3. Pfizer

    Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  4. Jack Daniel

    Waziri Doto Biteko na utulivu kwenye siasa zake

    Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa. Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya nchi. Makonda ni moja ya viongozi wachapakazi sana ila tatizo lake ni moja Kila anachokifanya anataka...
  5. nyamadoke75

    A-Z yatikisa maonyesho mahala pa kazi Biteko kuzindua kesho rasmi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
  6. Suley2019

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema: Katika mwaka 2023/24 Serikali iliendelea kuchukua hatua za kuimarisha uzalishaji na upatikanaji wa umeme nchini ambapo hadi...
Back
Top Bottom