Doto Mashaka Biteko (born December 30, 1978) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Bukombe in 2015.
He was appointed as the Minister of Minerals on 9 January 2019 by President John Magufuli. He continued his tenure as the Minister of Minerals under the new president Samia Suluhu Hassan until 31 August 2023. On 1 September 2023, he was promoted in the role of Vice Prime Minister of Tanzania, only the third ever person to hold the title. At the same time, he was given the docket as the Minister of Energy.
Jakaya ndo alimkuza Samia na kumfikisha Bara mpaka hapo alipo ni juhudi za Kikwete na genge lake, jambo la kushangaza amekuja kuzima nyota za akina Bashe, Bashungwa, Biteko na wenzao wakina Makamba sasa sijui anafaidi nini?
Ameishia kutuletea mijitu ya ajabu ajabu ikina Thabiti Kombo sjui kama...
Yaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.
Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.
Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais.
Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
"Mgombea wetu umetufundisha mengi na umethibitisha kwamba utu kwako ni kipaumbele na pia kazi ndiyo msingi wa maendeleo kwamba hata kama tutakaa kama Taifa tukazungumza mambo mengi tutakavyo kama hatufanyi kazi maendeleo ni ndoto na maendeleo yoyote hayawezi kutokea kama hakuna utu...
Ewura CCC walitangaza nafasi za wajumbe wa bodi mwishoni mwa mwaka jana.. Watu wenye uzoefu wa tasnia ya nishati waliomba na hatimae waliitwa kwenye usaili. Sharia ya EWURA imeweka wazi kuwa baada ya usaili waziri wa nishati anatakiwa kuchagua watu 7 akiwemo mwenyekiti wa bodi.
Tunaomba...
DKT. BITEKO AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI MAJIKO YA UMEME KWA BEI YA RUZUKU KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO
📌 Lengo ni kuchochea Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
📌 Asema matumizi ya umeme kwa ajili ya kupikia ni nafuu zaidi ukilinganisha na mkaa; Wananchi wahamasike
📌 Amtaja Rais Samia...
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea
kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa Wastani wa Asilimia99.8%.
Katika mchakato wa kura za Maoni Idadi ya Wajumbe waliohudhuria ilikuwa ni...
Biteko, “Mimi sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka na nyinyi watu wema wa Bukombe bali mawakala wangu mtakuwa ninyi wananchi wenyewe wa Bukombe”.
Doto Biteko ambaye pia ni mbunge wa Bukombe aliyemaliza muda wake na Naibu waziri mkuu, amesema hayo leo Agosti 3...
Mbunge wa Jimbo la Bukombe anayemaliza muda wake, Dkt. Doto Mashaka Biteko ambaye ameomba tena ridhaa ya kutetea kiti hicho, ameeleza furaha na shukrani aliyonayo kwa Wananchi wa Bukombe kufuatia ushirikiano waliompa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Dkt. Biteko amesema hayo Agosti 2...
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.
Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili...
Ninazidi kufuatilia siasa zetu Afrika najifunza mengi . Leo nimeona mbunge mmoja akichukuwa fomu ya kuomba kugombea ubunge ambapo pi mdogo wake ni mbunge na waziri.
Sheria haikatazi familia moja kuwa kwenye nafasi za uongozi wa kisiasa. Lakini kutokana na ufinyu wa furusa naona ingekuwa vema...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Mashaka Biteko, amesema kuna uhusiano mkubwa kati ya kilimo na lishe huku akisisitiza kilimo chenye mwelekeo wa lishe kinaweza kupunguza utapiamlo na magonjwa yatokanayo na lishe duni.
Akizungumza...
Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema milango ya Serikali iko wazi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuwasihi wenye hoja kujongea kwa mazungumzo.
"Ninachoweza kusema kuhusu uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu...
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 - DKT. BITEKO
📌 Dkt. Biteko akutana na Balozi wa Japan nchini
📌 Tanzania na Japan kuendelea kuimarisha ushirikiano wake
📌 Dkt. Biteko aishukuru Japan kufadhili mradi wa umeme Singida
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
"Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkataba wake na wananchi mpaka kufika mwaka 2025 haikuwa (kufikisha umeme kwenye) vitongoji, ilikuwa vijiji tu, vijiji imemaliza kabla ya wakati, na kabla ya wakati imehamia vitongojini na vitongoji 64,033 vyote vina umeme, yaani kwa maneno mengine CCM imefanya kazi...
"Hakuna jambo linakera wananchi kama kukatika umeme hasa kama hawajapewa taarifa na ndio maana tumeamua kituo chetu cha huduma kwa wateja tukiimarishe, umeme unapokatika watu wapewe taarifa,..Tumeamua kila Wilaya na kila Mkoa kuwe na ma 'group' ya WhatsApp meneja awe 'admin' kwenye yale magroup...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.