bishop

A bishop is an ordained, consecrated, or appointed member of the Christian clergy who is generally entrusted with a position of authority and oversight.
Within the Catholic, Eastern Orthodox, Oriental Orthodox, Moravian, Anglican, Old Catholic and Independent Catholic churches, as well as the Assyrian Church of the East, bishops claim apostolic succession, a direct historical lineage dating back to the original Twelve Apostles. Within these churches, bishops are seen as those who possess the full priesthood and can ordain clergy, including other bishops. Some Protestant churches, including the Lutheran, Anglican and Methodist churches, have bishops serving similar functions as well, though not always understood to be within apostolic succession in the same way. A person ordained as a deacon, priest, and then bishop is understood to hold the fullness of the (ministerial) priesthood, given responsibility by Christ to govern, teach, and sanctify the Body of Christ. Priests, deacons and lay ministers co-operate and assist their bishops in pastoral ministry.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bishop Stephen Kaziimba Mugalu: I am not your saviour. I also have a life to live

    The Archbishop of the Church of Uganda, Stephen Kaziimba Mugalu, has pushed back against growing criticism from civil society actors and political voices who have urged him to adopt a more confrontational stance on alleged human rights abuses in the country. His remarks have reignited a...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bishop George John: Watumishi wanaoomba Rais afe watakufa wao, yeye atadunda

    Bishop George John ameongea hayo katika mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na kutoa onyo kwa watu wanaaomba Rais afe kwani kitu kama hicho hakiwezi kutokea, na badala yake watakufa wao.
  3. JamiiForums Tanzania Kama walishindwa kujua Mh Gwajima Bishop alipo, basi Hawana intelijensia yoyote , Kauli ya Polisi ya "Tunawafatilia" ni Kujimwambafai tu !!.

    Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??. Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana...
  4. JamiiForums Tanzania Matt Damon (Bourne), Jason Statham (Bishop), Tom Cruise (Hunt), Vin Diesel -Mark Sinclair(Torett): Nani mkali unamkubali zaidi kwenye action movie ?

    Wapenzi wa kuangalia action movies na Blockbuster movies karibuni tuweke maoni yetu. Tuambie nani unamkubali sana uingizaji wake au uhusika wake kwenye movie zilizo fanya vizuri sana. Hapo chini naweka jina lake halisi, la kuigizia na jina la movie husika. Matt Damon (Jason Bourne) :- Jason...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

    Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Askofu Zachary Kakobe yuko wapi?

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake za kiroho kama Mtumishi wa neno la Mungu. Lakini si hivyo tu, Bishop Kakobe ni mmoja wa watu wenye...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iliwalazimu Genge la UTEKAJI kumtumia Mzee Butiku kumteka Polepole, bila hivyo wangemshindwa kama walivyomshindwa Bishop Gwajima-Jasusi!

    Mnaweza mkadhani mna TISS Taasisi ya kujivunia Sasa Idara kama TISS ambayo ni Jicho la Nchi, imejaa Machawa, Wenyewe, Utendaji kazi wao UNATEGEMEA NGUVU TU . Yaan ni mpaka wamkamate MTU A, wampe Kichapo mpaka awaambie MTU B Yuko wapi. Mnaóna ya OKTOBA 29, Tuliwakamata BILA wao kutarajia...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bishop Gwajima ni CCM alikuwa mbele ya muda

    Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Ikongo: TEC wamehusika kwa asilimia 90 kuratibu vurugu za tarehe 29 Oktoba

    https://youtu.be/B5pHrjsXXDM?si=YrhU152Q9lyY-CLR
  10. JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  11. JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima je siku 10 hazijaisha? Acheni mikwara mbuzi kwa Serikali

    Ilikuwa tatehe 15 August, na leo ni tarehe 21 Septemba, zaidi ya siku 35.
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila juu ya yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025

    Wakuu! Mmesikia Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila ambao ametoa katika ibada iliyofanyika Septemba 07, 2025, akieleza juu ya mambo yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025?
  13. JamiiForums Tanzania Huenda Bishop Gwajima kafilisika

    Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao. Kumbuka mapato ya bishop...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ameandika barua kuomba msamaha kwa Rais na Watanzania

  15. R

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano kwa mbunge yatosha, tuwapumzishe waliokuwepo kupitia funzo alotupa Bishop Gwajima

    Salaam! Nichukue fursa hii Kutangaza kuwa Mimi ni mmoja wa waumini juu ya ukomo wa kutumika kwa Nafasi ya ubunge na kwa miaka mitano pekee. Askofu Gwajima ametupa funzo kuwa, miaka mitano inatosha kabisa kwa mbunge, akatafute changamoto nyingine, haya mambo ya kufanya Jimbo kama lako, ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia

    Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

    Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika. Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
  18. JamiiForums Tanzania Bishop na Bingwa wa Utabiri Dickson Kabigumila asema 'Utekaji na Watekaji mwisho wake ni mwezi 8/2025

    Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia. Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi. Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na wanaompenda Mungu wamekataa katakata kuendelea kushuhudia masuala ya kidhalimu ya Utekaji na UUAJI...
  19. JamiiForums Tanzania Njiti ya kiberiti imetupwa kwenye petroli. Sasa ni Bishop Gwajima for president! Nenda baba, nenda

    Huenda ni mpango wa Mungu mtawala anapoanza kuwagawa watu mapema na kutoa vitisho, huenda ni Mungu kamtumia Gwajima kuyasema Yale ili maji na mafuta yajitenge!! Sasa gwajima asiingie ubaridi kabisa kabisa !! Kwa chama chochote ni gwajima pekee anaeweza kuleta balaa la mpambano wa kweli kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Rais hana kinga ya kutokosolewa. Watu wanatekwa ninyi mnapongezana, wanaoikosoa serikali wasizuiliwe

    CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina ============== Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…