Kwema watu wa JF
Nimeona mtaani watu wakiwa na maswali mengi juu ya kwanini Pi Coin haipo na haijalistiwa kwenye exchange ya Binance au masoko makubwa ya cryptocurrency kama Coinbase, Kraken, na KuCoin. Watu wengi wana matumaini makubwa juu ya Pi Network, lakini bado kuna changamoto kadhaa...