binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Endelea kusonga: Je, umewahi kuwa na mazungumzo na nafsi yako?

    Je, Umewahi kuwa na mazungumzo na Nafsi yako? Ninachojua ni kuwa kwa kila mwanadamu jibu ni ndio, haswa wakati tunapokwama kwenye dhoruba kubwa na lazima tuchague njia moja ya kwenda mbele. Unajua wakati mambo yanapokwenda ndivyo sivyo sisi wengine tunapata vita kubwa sana katika nafsi zetu na...
  2. JamiiForums Tanzania Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

    Vijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo. Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia. Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi. Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

    Habari 👋🏾 Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies? Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili. Asante.
  4. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuendelea kuilaumu Kenya na Mabeberu kwa matatizo binafsi ya Tanzania: 'We are paying the price of our own Wrongdoings!'

    Wasalauumu wakuu!! Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila itabidi niuweke kwasababu kuna mambo ambayo yapo relevant sana. Imekuwa ni kawaida sana hapa jamvini...
  5. JamiiForums Tanzania Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dalili za Rushwa: Magari binafsi ya Traffic yanapotumika kukamata magari

    Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata. Magari haya unaweza kuyakuta mbali tena yakiwa nje ya mji. Swali la kujiuliza. Nani anaweka mafuta haya magari kuyawezesha...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

    Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga. Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa...
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania iruhusu watu binafsi kujenga nyumba za kuhifadhia maiti (Mortuary rooms)

    Wadau hivi Bongo ukiachana na Mortuary zilizopo ndani ya hospitali, Mbona hakuna Mortuary ambazo Mtu/Kampuni zinamiliki private? i.e high class/ VIP mortuary? Mfano kwa wenzetu Kenya, hii fursa watu wameitumia kweli kweli na kuna private mortuaries nyingi tu watu wamezitengeneza, na wengi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Nyerere alitaka pawepo mgombea binafsi lakini CC ya CCM ilimkatalia, pia CCM ilipinga vyama kuungana ikihofia itakufa

    Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi. Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea binafsi katika mfumo wa vyama vingi lakini kamati kuu ilikataa kwa madai anaweza kutokea mtu maarufu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Awamu hii Spika angekuwa Zungu kasi ya maendeleo ingeongezeka, Job anapenda ligi na Mbowe ambayo ni yao binafsi

    Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa. Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi

    Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants, wakulima, wachimbaji wa madini ,freelancer jounalists nk wenye vipato vya msimu. Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na...
  13. JamiiForums Tanzania Mchawi hana akili, tukutane hapa ambao tumekutana na vimbwanga vyao, binafsi nlihama nyumba

    Mchawi kiukweli hana akili, mtu umelala zako usiku ukidhani wengi mmelala kumbe ndi kwanza kuna watu hutumia huo mwanya kujiandaa kuja kukusumbua usiku. Nakumbuka nikiwa kijana mdogo (miaka 22) nlichoka kukaa hostel za chuoni nikaenda kupanga ghetto mtaani ili niwe na uhuru zaidi kumiliki...
  14. JamiiForums Tanzania Kama sekta binafsi haitafufuliwa watanzania waandike maumivu

    Miaka mitano ya Hayati Magufuli sekta binafsi imekufa. Wakandarasi wamekauka mifuko. Wenye maduka, super market, mama ntilie wapo hoi bin taabani. Sekta ya ujenzi iliuliwa na Forced account. Mama ntilie walikosa wateja sababu mzunguko wa pesa ulizizi. Purchasing power ilishuka wenye baa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile ataka ushiriki wa Sekta Binafsi katika kuelekea uchumi wa kidijitali

    NDUGULILE ATAKA USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA KUELEKEA UCHUMI WA KIDIJITALI Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka sekta binafsi kushirikiana na Serikali katika kuleta mapinduzi ya TEHAMA kwa lengo la kuelekea uchumi wa kidijitali. Dkt Ndugulile...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

    Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni. Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
  17. JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Binafsi naona hii ndiyo faida kubwa ambayo Tanganyika inapata kupitia Muungano

    Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto wanaopata ufaulu wa juu na kupata nafasi ya kusoma shule binafsi wanakuwa wahanga katika ufadhili wa elimu ya juu

    Sophia binti wa miaka 16 alipata ufaulu wa daraja la kwanza kwa point 17 katika ufaulu wake wa shule ya upili. Baba yake Sophia ni dereva serikalini na mama anafanya biashara ya chakula. Nyumbani wamezaliwa watoto watano na Sophia ni watatu kuzaliwa. Nyumbani waliishi maisha ya kawaida...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…