bilioni 200

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Tshs bilioni 200 kuwawezesha Vijana Kiuchumi hadi Aprili 2026, Tshs 52.6 zimeshatolewa

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Festo Dugange: Serikali imetenga Sh Bilioni 200 kuwawezesha Wananchi Kiuchumi

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki, Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za kifedha zinazotolewa na Wizara pamoja na mifuko...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana mnaohitaji kupata mkopo wa Serikali wa Bilioni 200, hatua za kufuata ni hizi hapa!

    Wizara ya Maendeleo ya Vijana, imeanika wazi mwongozo kwa vijana namna ya kuomba na kunufaika na mikopo ya Sh200 bilioni ambayo imekuwa ikitangazwa na Serikali kuwa lengo lake ni kuwawezesha kiuchumi. Katika mwongozo huo uliotolewa leo Jumamosi Machi 21, 2026, serikali imeeleza kuwa waombaji...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Uzalendo ladai kuna sintofahamu kuhusu Sh Bilioni 200 za Vijana

    Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini. Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shilingi bilioni 200 kuondoa kero ya nishati ya umeme Songwe

    Zaidi ya shilingi bilioni 200 zinatumika kujenga kituo cha kupoozea umeme katika kijiji cha Nkangamo, mkoani Songwe…mradi unalenga kuondoa changamoto ya muda mrefu ya kupungua kwa nguvu ya umeme mkoani humo.
  7. OLS

    JamiiForums Tanzania Kama UK ilinusurika kupigwa TZS bilioni 200 na DP World, Tanzania inachomokaje kwenye kashfa za ukwepaji kodi wa kampuni hiyo?

    Kampuni ya DP World, ilikabiliwa na tuhuma za kukwepa kodi kutokana na upunguzaji wa thamani wa pauni milioni 80 (244,497,600,000TZS) kwa ardhi iliyo nunuliwa kwa ajili ya bandari kubwa kwenye Mto Thames huko Uingereza. Eneo hilo, linalojulikana kama London Gateway, lilinunuliwa kutoka kwa...
Back
Top Bottom