bila sababu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Kujaza abiria kuzidi uwezo wa gari, kupiga honi bila sababu, utakatwa points za leseni

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba hakuisikia hii hotuba?, Anatuvuruga bila sababu.

    TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya? https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Nini huwa sababu, au ni kipi kinapelekea mtu kusema: Ujue mimi mtu fulani simkubali wala nini! Ukimuuliza why? hana sababu Kwa kifupi, yeye anadai tu hamkubali tu Hivi hili linawezekana vipi? 🤔 Yaani mtu usimpende au usimkubali bila sababu? Au sababu ipo ila imejificha kiasi kwamba hata...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi

    Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii. Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la kuzalisha umeme, bado tunashuhudia kukatika kwa umeme mara kwa mara. Hali hii inasikitisha na...
  5. JamiiForums Tanzania Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

    Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
  6. JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

    Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa vinarecover Kutuma text kidogo ti ban Ban ban Christmas ban Je wewe hii hali ishawahi kukutokea? Ni...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jonh Heche, Tangu niachiliwe sijapewa passport yangu ya kusafiri bila sababu zozote za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio. Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
  9. JamiiForums Tanzania KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Napitia Changamoto ya kuchukiwa na watu bila sababu

    Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu. Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…