Sir Isaac Newton tumemzoea kwenye maswala ya Sayansi, na amefanya mabadiliko makubwa katika Ulimwengu huu
Je wajua aliwahi pia kukichambua kitabu cha Daniel kwa undani zaidi?
Leo nitakuonesha kidogo tu
Sir Isaac Newton alifanya tafsiri ya kina na ya kipekee kuhusu unabii wa Biblia, hasa...