bibi

Bibi is a given name, nickname and surname.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Kibaijuka akiri historia ya Bibi Titi na Kambona kufichwa

    Akihojiwa na kituo cha Wasafi Media Mkongwe Profesa Tibaijuka amekiri wazi kuwa historia ya Tanganyika ameficha mchango wa Bibi Titi na Oscar Kambona. Amesema kulikuwa na kutokuelewa na Mwalimu. Amesema kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida lakini sio sababu ya kuwaweka pembeni katika historia...
  2. JamiiForums Tanzania Trivia: Asili ya msemo "Shamba la Bibi."

    Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta maana yake. Inasemwa kuwa msemo huu ulianza kutumika wakati wa utawala wa Ujerumani. Wajerumani...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi Bibi Yenu Mpambanaji nimedhulumiwa kwa kutokujua sheria

    Kuna mtu mmoja yuko kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali. NI MTU mzito sana, Akaniambia Bibi, kazini kwangu kuna fursa ya kupiga, ambayo itakunufaisha na wewe. Nikamwambia ni fursa gani hiyo? Akanipa mpango mzima. Akasema tuanzishe kampuni, yeye na jamaa zake, Ila kwasababu ya conflict of...
  4. JamiiForums Tanzania Wasafi FM: Historia ya Bibi Titi...Inaendelea

    https://youtu.be/cc4rPXasbDM?si=xe6F8oUNMEwxRjjc
  5. JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohamed na Schneider Plantan 1955

    https://youtu.be/VFbn-fjnZE4
  6. JamiiForums Tanzania Kuundwa Kwa TANU na Bibi Titi Kuingizwa Katika Chama

    https://youtu.be/ZrfyEHlxr7I?si=0NQ32KUKcYxDI260
  7. JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohamed Mwanamke Shujaa

    BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa. Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi. Labda kama isingekuwa Tamasha la Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mchengerwa na pengine wengi tusingefika Ikwiriri hadi...
  8. JamiiForums Tanzania Bibi Titi Alihifadhi Historia ya Maisha Katika Uhai Wake

    BIBI TITI ALIHIFADHI HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA UHAI WAKE 13.559 Aufrufe · 18 Reaktionen #WasafiDigital #WNews | Wasafi FM
  9. JamiiForums Tanzania Kinachosubiriwa ni Kitabu cha Bibi Titi Mohamed

    https://www.facebook.com/share/r/Ddz2zfnNcBL6HWPw/?mibextid=Nif5oz
  10. JamiiForums Tanzania Rufiji FM Kipindi Maalum Bibi TITI Mohamed

    https://youtu.be/MKE0ogAnTNk?si=cFfZRgBGJ1CZOah4
  11. JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohamed Festival Ikwiriri: Bibi Titi Kahutubia Mikutano Miwili Hamjui Nyerere

    https://youtu.be/Xk_wM5zg6lc?si=fcr5XUGkUP2Xy7Hr
  12. JamiiForums Tanzania Mchengerwa na bibi Titi feastival Rufiji

    Kwenye vipindi tofauti vya Kitenge WCB na Crow Media leo siku nzima ni matangazo ya tamasha linaloitwa la kumuenzi marehemu bibi Titi Mohamed kesho sasa tujiulize. Bwana waziri ana ukwasi kiasi gani kulipa Wasanii wote waliotajwa wakiwemo Diamond, Harmonize na all the way from DRC Mbilia Bell...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Bibi amepotea Mindu, Morogoro. anatafutwa na ndugu zake

    Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake. Alikuwa amevaa gauni la bluu...
  14. JamiiForums Tanzania Bukoba: Mtoto mchanga akutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake vikiwa vimenyofolewa. Bibi wa kambo akihusishwa

    Jamani mambo yanatisha unyama unaofanywa na baadhi ya watu. Sasa mtoto mchanga kabisa hii ni wazi ni imani za kishirikina tu zimefanyika na kutumika kwenye haya mauwaji! =============== Mtoto mchanga, Antidius Avitus (miezi minne) amekutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake...
  15. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka tunafanyaga hivi na bibi

    https://www.facebook.com/reel/516038094522597
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Bibi anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, tumpe dawa ghani?

    Habari za usiku wanajf, Bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe. Pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
  17. J

    JamiiForums Tanzania Bibi anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, tumpe dawa ghani?

    Habari za usiku wanaJF, bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
  18. JamiiForums Tanzania Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

    Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo. Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wako unadhani huyu mtoto alikuwa anawaza nini wakati akimtazama huyo bibi

  20. JamiiForums Tanzania Tuwapongeze Bibi zetu ( Wazazi wa Wazazi wetu) Kwa malezi yao bora na ya kudekeza wakati Mwingine.

    Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi. Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa. Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…