biashara ya mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamke wa mithali 31

    Wenye uzoefu na biashara ya mazao naomba ushauri

    Aliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao, Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi, Nataka kununua mahindi, niweke stoo Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,
  2. E

    Changamoto lukuki zakabili biashara ya mazao ya kilimo hai Afrika Mashariki

    Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha. Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya nchi wanachama, bado kumekuwa na changamoto zinazokwaza itifaki hiyo kutekelezeka. Lengo la itifaki...
  3. MkuuXyz

    Biashara ya Mazao

    Swali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii. SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao ( nafaka ) mikoani na kuleta kuuza Dar. Tafadhali zingatia kuwa nahitaji kujua mtaji wa chini kabisa wa...
  4. K

    Biashara ya mazao

    Napenda kuomba muongozo kwa wanaofanya biashara ya kusafirisha mazao nje ya nchi ya Tanzania. Yeyote mwenye ku-share knowledge
  5. M

    Nimepata wazo la kufanya Biashara ya mazao ya chakula (mchele,mahindi,unga,maharage)

    Habari wana jamii Kwa jina naitwa Juma Issa Mikidadi, ni kijana mwenye shahuku ya maendeleo . Nimepata wazo la kufanya biashara ya mazao ya chakula yaan mchele, maharage , mahindi na unga. Eneo ni Mtwara ...
  6. ngara23

    Jinsi ya kutoboa kupitia biashara ya mazao (nafaka)

    Nitaelezea zaidi Kanda ya ziwa, hasa mkoa wa Kagera Biashara ya mazao hasa nafaka ni biashara ambaya haimtupi mtu, yaani hapa faida inayoweza kuji double ni uhakika Usichukue mtaji ukawekeza kulima kama kijana unayejitafuta maana kilimo kina risky zake Kwa sisi Africa tunaotegemea mvua ya...
  7. K

    Hali ya biashara ya soko la nyuki na mazao yake kama asali lipoje?

    Wadau natamani kuwekeza kwenye kilimo cha ufugaji nyuki na kufa ya baishara ya Asalia nchini Tanzania. Ningependa kujua taarifa za kuasidia kujua hali ya biashara na ili mtu afanikiwe ni mambo gani inabidi azingatie. Wazoefu, please karibu kushare uzoefu wenu
  8. S

    Biashara ya mazao Oman

    Kuna fulsa nimeiona Oman, ya kupeleka maharage soya na Matunda pashen, nafikilia kuanza kupeleka bidhaa tajwa hapo juu kila week, kwa kuanzia ntakua nasafirisha kilo 100 kila week. Kama unafanya kazi kwenye Kampuni za Ndege hasa zinazoruka direct toka Dar es salaam to Muscat, au unafanya...
  9. G

    Biashara ya Mazao ya chakula inabaki kuwa ndo biashara yenye Fursa nyingi nzuri pamoja na changamoto zake

    Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo. Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia Kuna Aina nyingi za Fursa katika biashara ya Mazao inategemea na MTU angependa kujikita wapi Kwanza Kuna wale wanunulia...
  10. Nyendo

    Wizara ya Kilimo: Utaratibu, uuzaji na ununuzi wa biashara ya mazao ya kilimo Nchini

  11. B

    Naomba ushauri nina mtaji wa 10m, nifanye biashara gani ya mazao?

    Samahani wakuu, ninamtaji wa milion 10 nipo Njombe, naomba ushauri nifanye biashara gani ya mazao? Nina interest na biashara za mazao.
Back
Top Bottom