"Mnaolalamika hakuna ajira muende mkajiajiri msisubiri kuajiariwa" Hizi si kauli ngeni mjini ila ni kauli ambazo husemwa na watu ambao aidha hawajawahi pitia msoto wa mtaani au wana watu wa kuwapush nyuma yao wakikwama.
Ni kweli, kwa namna moja ama nyingine kujiajiri linaweza kuwa sulihisho la...
Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi.
Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️
— -
1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu
Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa.
Lakini ukweli ni kwamba...
Habari wanajikwaa
Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu wa Tsh 500 kila siku umekuwa ukitolewa lakini wahusika hawatuboreshei mazingira ya kazi mfano...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James ametoa siku 14 kwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani humo kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kisheria kuzuia vitendo vya mara kwa mara vya uvamizi wa hifadhi za barabara vinavyosababishwa na...
Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka
1. Miwa- hii inalipa sana
2. Karanga
3. Kahawa- faida X2
4. Fenesi- k/koo&sinza,
Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa wapambanaji zaidi.
Kuanza biashara na mtaji wa TSH 200,000/= katika mji kama Dar es Salaam inawezekana kwa kuchagua biashara ndogo ndogo ambazo hazihitaji mtaji mkubwa. Hapa kuna mawazo ya biashara ambazo unaweza kuanzisha:
1. Biashara ya Vyakula vya Mtaani
Samosa na Vitumbua: Unaweza kuanza kuuza vitafunwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.