Wakuu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ghana, Samuel Okudzeto Ablakwa, ameazimia katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati wa mkutano wa CELAC uliofanyika Bogotá Machi 22, 2026 la kutambua biashara ya utumwa ya kuvuka Bahari ya Atlantiki kama uhalifu dhidi ya ubinadamu na kuthibitisha haki ya...
Habari wanajamii Forum.
Nimatumain yangu mpo poa na miangaiko ya kila siku. Baada ya salamu niende direct to the point. ( Tafadhali nivumilieni uzi ni mrefu kiasi)
Kama title ya uzi wangu invyojieleza. Mimi ni kijana na zaidi ya yote ni mtafutaji, baada ya kuangaika kwa muda mrefu kutafuta...
Ndugu wa Jamii forums naomba tujuzane fursa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafursa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi hiyo hawana elimu ya kutosha kwenye swala la kilimo kwa yoyote anaejua kuhusu Madagascar anaweza kushare chochote tukajifunza.
Hivi karibuni, rais wa Marekani Donald Trump alitangaza nyongeza ya ushuru kwa nchi kadhaa, zikiwemo nyingi kutoka bara la Afrika, na hivyo kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa. Wakati Marekani imetoa siku 90 za nyongeza kabla ya ushuru huo kuanza kutekelezwa katika nchi nyingi...
Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao.
Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani...
Kwa kweli sina uzoefu wowote kuhusu jinsi ya kuandika andiko la mradi. Kwa sasa ninahitajika kuandika, lakini sijui nianzie wapi wala niishie wapi. Hivyo basi, kama kuna yeyote hapa ambaye ana uelewa au uzoefu na uandishi wa maandiko ya miradi, naomba sana usisite kunielekeza au kunipa muongozo...
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada ni shingapi? na ni muda gani?
Wadau habari za saa hizi ningependa Leo tusambaziane mawili matatu kuhusu biashara ambazo haziku dhaniwa lakini zimetoa watu.
Aisee wakuu kuna wakati mwingine maisha yanakufundisha kwamba mafanikio hayachagui kazi, bali ni juhudi, uvumilivu, na akili ya kibiashara. Mimi na Chempa tulianza...
Wakuu,
Kwa mara ya kwanza tangu ipate uhuru Senegal imeanza kusafisha mafuta ghafi ambayo yanazalishwa ndani ya nchi, ikifungua mlango mpya katika sekta ya nishati.
Kampuni ya African Refinery Company (SAR), ambayo imekuwa ikifanya kazi tangu 1961, ilitangaza Alhamisi kuwa imefanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.