biashara

  1. U

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Supplement, za bodybuilding na kawaida, hakuna udhibiti?

    Habari katika Jamvi hili? Ni kweli tunatambua Watanzania wengi wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali, yanayoanzia uzazi, unene ulipitiliza, misuli, nyonga, vidonda vya tumbe, BP, sukari, cancer, tezi dume. Sasa kutokana na matatizo ya watanzania na wananchi kuwa na uelewa finyu juu ya Afya zao...
  2. JamiiForums Tanzania Pata QR Code za Instagram au biashara yako

    QR Code inaweza kumrahisishia mteja wako kupata taarifa za biashara yako kwa haraka zaidi ukilinganisha na kutafuta kawaida. Mfano; Unaduka lako, na umechapisha karatasi yenye jina lako la instagram ya biashara kisha ukabandika ili mteja aone, kuna wakati mteja anaweza kukosea herufi moja tu...
  3. JamiiForums Tanzania Miji gani migumu kwa biashara wakuu?

    Kuna maeneo ukianza kufanya biashara uwe na moyo mkuu aisee. ✍️
  4. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo 6 niliojifunza nikiwa kwenye biashara kwa miaka 12

    1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu awe na share zake il nidhamu iwepo maana mtu ukimuajiri hawezi kujua uchungu wa wewe Kula hasara au...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo mnadani

    Habari zenu wadau naimani mungu Bado anatueka salama Leo nimekuja naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza nguo minadani Kwa kufungua baloo kabisa je itanilipa nimepanga kumuajiri mtu awe anatembea na mnadani Ani Kwa wiki aweze kwenda minada ata mi4 je hii itanilipa wadau tupo apa kusaidiana...
  6. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo Jiandaeni kwa mabadiliko haya

    Kama ilivyo kariakoo wafanya biashara wengi wanafanya biashara ya B2B yaani Busness to bussness ( mtu ununua bidhaa na kuiuza hio bidhaa iliapate faida/profit. Wa China na watu wenye viwanda wao ufanya B2C yaani Busness to consumption ( uunda bidhaa kiwandani kisha kuiuza kwa mlaji, ndo...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kukata Funguo Afrika na Hatari zake kwa Usalama

    Biashara ya kukata na kuchongesha funguo ni shughuli muhimu katika maisha ya kila siku, hususani katika miji mikubwa ya Afrika. Hata hivyo, biashara hii, kama nyingine yoyote, inaweza kutumiwa vibaya na watu wenye nia mbaya. Ni muhimu kufahamu jinsi biashara hii inavyofanya kazi na hatari pamoja...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara ya kuuza na kununua vitu used (furniture na electronics)

    Habari wadau wa JF kama mada inayojieleza hapo.. Natamani kuanza huu biashara kwa wenye uzoefu nayo nipeni ushauri nini vya kuzingatia
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya choo baada ya kustaafu utumishi wa umma

    Wadau salama, CCM hoyee. Huwa nina tabia ya kupiga story na wazee watu wazima kidogo. Sasa kuna huyu amebakiza kama miezi sita ya kustaafu kazi ya utumishi wa umma. Anaitwa mzee Shayo, anasema yeye anataka hela yake akishastaafu ajenge at least matundu 30 ya vyoo hapa mjini sehemu tofauti...
  10. JamiiForums Tanzania The dark side of business

    Hakuna shule hakuna chuo utafundishwa kuhusu dark side of anything,Kuna njia mbili tu za kujua wasichokijua watu wengi,njia nyepesi zaidi ni kujua kupitia shuhuda za watu waliopita kwenye kivuli cha mauti na wakatoka salama na njia ngumu zaidi ndio Kama niliyopitia Mimi,i dip my feet into the...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ni uchawi

    Mambo vipi wakuu. Wewe umeweka mtaji wako wa milion 10 dukani kwako. Jirani yako ameweka mtaji WA milion 30. Unaamua kwenda Kwa mganga alafu mganga baada ya kukuchekia Ramli yako anakwambia njoo na jogoo mwekundu na Nazi Saba kwajili ya kufungua. Mwenzio anaenda Kwa mganga anaambiwa inabidi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinauma kama kuona mtaa uliokulia nyumba nyingi zimefanywa kuwa maduka, biashara, n.k.

    Kuna maeneo ya makazi tuliyowahi kukulia yaliyokuwa yanawaweka watu pamoja huwa yanaanza kupoteza asili yake kwa kugeuzwa kuwa maeneo ya biashara, unakuta majirani karibu wote uliowahi kuwajua wamehama wameuza plot, mtaa umejaa fremu, magorofa, bar, lodge, gereji, magodauni, n.k. Nyumba za...
  13. JamiiForums Tanzania Kariakoo yote sasa kufungwa kamera ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24

    Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24. Mkurugenzi wa Jiji la Ilala, juzi alitoa taarifa ya kumtafuta mzabuni akayetekeleza kazi hiyo na jana ilikuwa ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara rahisi

    Imekua nikama uvivu ama kutojitambua kwa watu wengi juu ya kuwa na wazo la biashara lakini kuianzisha biashara yenyewe inakua mthihani kweli kweli na hii kasumba sijui ni kwa biashara kubwa tu au hata ndogondogo?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naanzaje biashara ya kuuza vitu kwa mnada kama Chris's Lukosi, biashara za Ramsek?

    Habari wakuu, Nahitaji kufanya biashara yakuagiza vitu tofauti na kuuza kwa mtindo wa mnada kama wafanvyo hao kina Chris lucos, biashara za ramsek
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata wazo la biashara kupitia njia hii ambayo naifanya hapa. Ikawa faida kwako na kwangu pia

    Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp? Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya kuuza Maua bila mtaji

    Jinsi ya Kuanza na Kufanikiwa Kuuza Followers Bila Mtaji – Mwongozo wa Hatua kwa Hatua Kabla ya kuendelea kusoma makala hii, hakikisha unabonyeza REPOST pale juu. Tayari? Chukua popcorn zako na ufuatilie mpaka mwisho, hatua kwa hatua! Safari Yangu ya Kuuza Followers Nilianza biashara ya...
  19. JamiiForums Tanzania Experience ya miaka 15 ya kujiajiri: Nadiriki kusema biashara ndio sure way onto true riches

    Lengo la uzi huu ni kumtia moyo kijana aliyeamua ku take risk na kujiajiri,Ni kweli Kwenye biashara Kuna ups and downs,Kuna light and dark,Kuna kila aina ya rangi lakini mwisho wa siku biashara ndio sure way onto true riches,hata ukisikia kuna mwanasiasa tajiri behind the scene Kuna business...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Nawekeza milioni 100 baada ya miaka 10 nipewe milioni 300 Yani 200 faida, je hii ni sahihi kama ntaiweka kwenye Biashara faida inakuwaje after 10 yrs

    Ndio wadau wawekezaji nimeona hii fursa je ni positive au negative ? Wataalamu wa biashara na masoko ya hisa njooni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…