biashara

  1. JamiiForums Tanzania Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

    Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa. Imeharibika vibaya kiasi kwamba sasa ni ya kuuza kama chuma chakavu tu. Milioni kumi zimepotea kizembe sana. Yule jamaa...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike tatizo la vijana kukwiba wanapoaminiwa kwenye biashara?

    Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆‍♂️, kumbe hiyo ni zuga tu. Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo segedansi zinapoanza. Hakuna picha utakaa usiione. Kama alitakuwa awe anafanya marejesho atakuletea zile...
  3. JamiiForums Tanzania MIRADI 73 YA BIASHARA YA KABONI IMESAJILIWA

    MIRADI 73 YA BIASHARA YA KABONI IMESAJILIWA Serikali kupitia Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (National Carbon Monitoring Centre – NCMC). imeendelea kuratibu na kuimarisha usimamizi wa Biashara ya Kaboni nchini ambapo jumla ya Miradi 73 ya Biashara ya Kaboni imesajiliwa na ipo katika hatua...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram)

    Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram) 1. Kwanza Inabidi uelewe Biashara yoyote duniani ina kanuni moja Sales = Attention + Trust + Offer Na matangazo ni njia ya haraka zaidi kupata "attention" kubwa kwa watu sahihi. 2. Lazima ujue...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kuwa Mtumwa wa Simu Kila Siku

    Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya kazi kwa niaba yako 24/7 — hata ukiwa umelala! Ikiwa umechoka kujibu inbox kila saa, kufuatilia malipo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tumkumbushe waziri Jaffo kwamba Wachina wanajenga soko lao Ubungo au tumwache? Je, tumkumbushe kwamba mama alikataza kufunga biashara?

    Mhe. Jaffo kuna sehemu amekosea au amejielekeza vibaya kuhusu sakata la Kariakoo. Kama anataka kupambana na Wachina Kariakoo yampasa kwanza afuatilie mambo mawili makuu 1. Je, kuna kifungu cha sheria kinakataza wachina kumiliki biashara Kariakoo? Je Mataifa mengine kama Nigeria na Wahindi wao ni...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Kampuni na Biashara (e-services)

    🔹 Tuwasiliane leo: 📲 WhatsApp: +255674916323 📞 Piga: +255674916323 🌐 Tembelea: Huduma Zetu: 🚀 USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi! ✅ Tax Clearance ✅ Leseni za Biashara 🔥 Company/NGOs Profile 🎨 Usajili wa Alama za Biashara na Huduma 🌐 Blog na Website, na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara nyingi za fremu zinafilisika haraka?

    KWANINI BIASHARA NYINGI ZA FREMU ZINAFILISIKA HARAKA? Biashara ya fremu ni ile unakodisha chumba/sehemu sokoni au mtaa fulani, unaweka bidhaa zako na unasubiri mtu apite anunue. Hii biashara huonekana kama “ndio biashara halisi” – ila ukweli ni huu hapa 👇🏾 1. Biashara nyingi za fremu hazifiki...
  9. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Kwenye Kujiajiri Biashara ya Vipodozi Asilia Miaka 8

    Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa nimetumia miaka 3 kudeal na biashara ya sabuni asilia kwa muda wa ziada wa ajira ,iwe usiku,weekend hadi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Biashara: Ikitokea una manunuzi mengi kuliko mauzo

    Habari wakuu! Samahan Ikitokea una manunuzi mengi kuliko mauzo kuna changamoto gani unaweza kukutana nayo kama mfanyabishara?
  11. JamiiForums Tanzania Mliofanya biashara ya vifaa vya umeme ? Nipeni DO na DONT za hii biashara

    Najua wengi mmeshafanya hii biashara. Nipeni masharti Nipeni faida Nipeni basara za hii biashara
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara yangu

    Nilijitafuta nikapata mtaji wangu wa takriban milioni 3, nikaona si vibaya nikitumia kukuanzishia biashara. Nilianza kwa kutafuta fremu, nikaipata, lakini mwenye fremu aliniambia nilipie kodi ya mwaka mzima kwa kuwa eneo lilikuwa katikati ya shughuli. Nikalipa shilingi laki saba kwa mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania Vibali vipi vinahitajika ili kufungua biashara?

    Habari, wana-JF naomba kueleweshwa kuhusu vibali vinavyohitajika kabla sijafungua biashara mpya, maana kuna kauli za kisiasa na sheria zilizopo vinanichanganya. Ikumbukwe, mwaka 2023 ilitoka kauli kutoka kwenye serikali ya Samia kuwa wafanya-biashara wapya watapewa muda kufanya biashara kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Makundi Hatari Zaidi ya Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani

    Baadhi ya makundi hatari zaidi ya wauzaji wa dawa za kulevya duniani yanajulikana kwa uhalifu uliopangwa, ukatili wa hali ya juu, na ushawishi mkubwa wa kimataifa. Makundi haya yanaathiri afya ya umma, usalama, na utawala. Haya ni baadhi ya makundi maarufu zaidi: 1. Sinaloa Cartel (Mexico)...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi hapa biashara 15 zinazo tajirisha vijana nchini kwa sasa

    Hizi ni BIASHARA 15 zinazowafanikisha vijana wengi kwa sasa, hasa Afrika Mashariki (ikiwemo Tanzania), pamoja na sababu kuu zinazopelekea mafanikio yao: CHAGUA YAKO. . 1. Biashara ya Mitandao ya Kijamii (Social Media Management & Influencing) Sababu: Vijana wana uelewa wa mitandao, hivyo ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mtaji wa 2.5M nitatoboa kwenye biashara ya uwakala?

    Habari wakuu Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu Je nitafanikiwa kwa mtaji huo? Biashara hii ina changamoto zipi? Nizingatie mambo gani?
  17. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye feni aina ya LOFIDA (mpya au used) tuongee biashara

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji feni aina ya LOFIDA mfanano kama hio pichani. Kwa mwenyenayo naomba tuweze zungumza na kuelewana. Mimi nipo Buguruni, Dar es salaam.
  18. JamiiForums Tanzania Siri Iliyojificha kwenye Biashara ya Kuuza Followers   Na Jinsi Watu Wanavyotengeneza pesa nyingi sana kwa kuuza followers

    Siri Iliyojificha kwenye Biashara ya Kuuza Followers – Na Jinsi Watu Wanavyotengeneza pesa nyingi sana kwa kuuza followers. Hii biashara halali (Inajulikana), isiyo na stress, isiyo na gharama kubwa, na yenye faida KUBWA sana. Leo nitakuelekeza jinsi ya kuifanya. 1. Watu wengi mnawaona...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya phone accessories, mtaji wangu ni milioni mbili tu

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta fremu ya biashara

    Natafuta fremu ya biashara maeneo ya temeke kodi isizidi 100k
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…