biashara

  1. JamiiForums Tanzania Ni Rahisi Kupoteza Biashara Yako Kama Hautailinda Kisheria

    Jinsi Nilivyomsaidia Mteja Wangu Kumsajilia Jina la Biashara Nilipokutana na mteja wangu kwa mara ya kwanza, alikuwa amechoka na mawazo akijaribu kuanzisha biashara yake. Alikuwa na ndoto, wazo, na hata jina la biashara alilopenda lakini hakuwa na ufahamu kamili wa taratibu rasmi za kulisajili...
  2. B

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA HARD DISK

    🌟 HABARIIIIIIIII🌟 🎬 HARD DISK 15TB YA BURUDANI KILA AINA! 🎬 Unapenda movies? Unapenda series? Basi hii ni SPESHO yako! 🔥 Nauza Hard Disk 15TB ikiwa na: ✅ Filamu zote (Zilizotafsiriwa Kiswahili & zisizotafsiriwa) ✅ Series kali zote kutoka A hadi Z 🅰️➡️🧟‍♂️ ✅ Action, Horror, Mystery, Comedy...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ya mtumba

    . Kutokana na changamoto za ajira nashauri vijana wale ambao hamna kazi mtumie mitandao ya kijamii vizuri tafuta mfanyabiashara anayekuamini mwenye uwezo wa kukupa mzigo wa mali kauli ukihitaji ushauri wa biashara ni FOLLOW Justine mtasiwa au Justine mitumba tunauza mitumba jumla na...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Programu nzuri ya usimamizi wa biashara

    Nawasalimu wadau wote wa biashara humu ndani. Naomba ushauri wenu kwa yoyote anayejua programu nzuri ya usimamizi wa biashara (business management software). Programu hiyo nataka iwe na sifa zifuatazo: Accounting Invoicing Support for Mobile and bank payments Payroll Track stocks, sales...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Nina million Moja. Nifanye biashara ghani

    Nina fedha taslim million Moja. Nifanye biashara ghani
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufikia Target ya Mauzo: Hatua 7 za Kifundi na Kiakili Kukuza Biashara Yako"

    Kila mfanyabiashara ana ndoto ya kuona mauzo yakifumuka hadi target aliyoweka — iwe ni kuuza bidhaa 100 kwa wiki au kufikisha milioni 10 kwa mwezi. Lakini ukweli ni kwamba wengi hushindwa sio kwa sababu hawana bidhaa nzuri, bali kwa sababu hawana mfumo wa mauzo unaofanya kazi kila siku. Katika...
  8. JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja?

    Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja? Biashara yenye wateja wengi ndiyo njia bora ya kuhakikisha una kipato cha uhakika na faida ya kudumu. Hii ni kwa sababu biashara hizi zinagusa moja kwa moja maisha ya kila siku ya watu. Kila mtu anahitaji kula, kuvaa...
  9. JamiiForums Tanzania KWA NINI UTUMIE HUDUMA YA BULK SMS YENYE JINA La BIASHARA (Sender ID)?

    Katika dunia ya kisasa ya biashara na mawasiliano, kufikia wateja kwa haraka, kwa ufanisi, na kwa gharama nafuu ni jambo la msingi. Huduma ya kutuma ujumbe kwa pamoja (Bulk SMS) kwa kutumia jina la biashara yako (Sender ID) ni suluhisho bora kwa wafanyabiashara, taasisi, na mashirika...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Maisha: Biashara haijawahi kuwa Rahisi – Ni Mapambano ya Kitaaluma na Kimtaa

    Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa Kuku: Pakua Hii App uone Inavyobadilisha biashara yako ya Ufugaji mara moja (Na Ni BURE!)

    Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa! Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ] Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

    Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje). Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Namba ya Kufanya namba yako ikipiga iwe Ina Display jina la Biashara kwenye SIM

    Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF , Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako , Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

    Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi. Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka. Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno Nikiazima hela yake kama nina...
  15. JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  16. JamiiForums Tanzania BIASHARA YA COASTER ZA KUKODI SPECIAL HIRE

    Wakuu habari ya Jumapili; Nina mategemeo ya kupata kiasi fulani hivi cha pesa kinachoweza kununua basi dogo kama coaster/civilian/Rosa, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa hii biashara kuanzia soko, usimamizi, gharama za uendeshaji n.k nione ni jinsi gani ntaweza kujipanga na changamoto...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kwa elimu ya masters kipi bora, uwe Mbunge au mtaji wa biashara bilioni 2

    Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER) kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
  18. JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Biashara ya Mbuzi imekuwa kama Pembe za Ndovu, baadhi ya mikoa ni ngumu sana kupata

    NRNE Wakuu habari za hapo juu. Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana Inaonekana wafugaji wameacha kabisa kufuga hawa aanyama. Je kuna changamoto mpya kwenye hii industry? Au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…