Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo wapi? Serikali ipo wapi kwa huu unyanyasahlji unaofanyika kwa Watanzania...
Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu?
Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu?
Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
Bank kuu sio kijiweni kuna utaalamu wa kufanya mambo. Hakuna kitu kama kusawazisha mizani yaani bank kuu inanunua gold sasa kusawazisha mizani maana yake ni nini? wanajua kabisa wanaeleza vitu ambavyo havipo kwa lengo ya kuuza gold bila watanzania kujua idadi maalumu na bila kukubali wanauza...
TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA
Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo.
Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.
Kati ya Maeneo ya kutizama sasa ni Benki Kuu, Benki za Biashara na Wizara ya Fedha.
Naomba Jeshi letu mzuie utoroshwaji na uchotwaji wa fedha zozote zile kwenye hizo Taasisi
Msisahau kuwakamata na kuwaweka kizuizini Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Mkurugenzi wake na Makamishna wote.
Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.
Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ?
Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
Watu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki.
Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea.
Hakuna uwiano katika ya sifa wanazorundikiwa watu na mambo ya aibu wanayofanya.
Sasa watu wengi wanasemwa vibaya...
Kama maelezo yanavyojieleza na ushahidi wa video...
Rais Trump alitoa takwimu sio sahihi na akakosolewa mbele ya waandishi wa habari kua data alizotoa sio sahihi
KUNA UKWELI USIOPINGIKA TENA WA WAZI KUWA HAWA WATU NDIO WANAISHI DUNIANI
Tarehe 8 Agosti 2005, Jumatatu pale Ceará, Brazil – mambo yalilipuka!
Wakati walinzi wa benki walikuwa kwenye ukaguzi wao wa kawaida ndani ya chumba cha hazina, wakakutana na kitu cha ajabu sana. Mbele yao, shimo kubwa limetobolewa sakafuni, na kumbe si mchezo – zaidi ya tani 3.5 za hela...
Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4.
Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi.
Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
Kitu kizuri ambacho kimesaidia kidogo self employment na kupunguza makali ya ukosefu wa ajira, ni the introduction of app ya DSE hisa kiganjani, hii imerahisisha kununua na kuuza hisa za DSE listed companies.
Benki kuu nao waje na app yao ya bonds kiganjani au waiwezeshe app ya DSE hisa...
Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia BoT dhahabu inayozalishwa na kampuni hizo kwa kiwango kisichopungua asilimia 20.
Mikataba hiyo...
Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani.
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
KATAZO LA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI KATIKA KUFANYA MIAMALA YA NCHINI/MALIPO NDANI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kwamba, kulingana na matakwa ya Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006, Serikali imetoa Kanuni za Matumizi ya Fedha...
Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru.
JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2.
Akizungumza jijini Dar es...
Niliwahi kusoma makala moja iliandikwa na marehemu Ali Nabwa,kwenye gazeti la dira,yenye kichwa cha habari,Zanzibar yafa dungu msokoni.
Makala hiyo ilielezea ugomvi mkubwa sana kati ya karume na nyerere,kuhusu benki kuu ya tanzania.Nyerere akamtuma Amir Jamal keenda kuongea na Karume,Karume...
Serikali imetoa onyo kuhusu shughuli za upatu, ambapo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, amesema kwamba mtu yeyote anayeshiriki katika upatu kwa kukusanya fedha ili kuzigawa kwa wachache, huku akidai kuwa lengo ni kuvutia watu kuleta fedha zao bila kuwa na biashara halali ya...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutaarifu Umma kuwa haijafanya mazungumzo wala kutoa maelekezo yoyote ya kupewa leseni au kuruhusiwa kwa kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL), tofauti na taarifa mbalimbali zinazozambaa mitandaoni.
Soma Pia: Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.