benjamin mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was the third president of Tanzania, in office from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Serikali kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati kuelekea AFCON 2027

    Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki. Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa kwa ajili ya ukarabati wa mwisho kuanzia mwezi huu (Machi, 2026) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
  2. radhiya

    House For Sale at Temeke Chang'ombe near Benjamin Mkapa stadium

    House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. -Corner House. Features: -3 Bedrooms(1Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size Warehouse(Stoo). -Large Parking. -Borehole(Kisima). Size: SQM 375. Starting Price: Tzs 450 Million Negotiable...
  3. Red black

    FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

    Next match;Simba SC vs Esperance hii ni machinjioni kwa mkapa hatoki mtu All the best Mnyama 🦁 #nguvu Moja💪
  4. Red black

    FT: Simba Sc 0 - 0 Nsingizini hotspurs l CAF CL l second preliminary round l 2nd Leg l Benjamin Mkapa Stadium l 26-10-2025 l 16:00pm.

    Next Match : Simba SC vs Nsingizini hotspurs. Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja.
  5. DuaZaMama

    Pamba Jiji wanadai kuzimiwa taa wakati wakifanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Benjamin Mkapa

    Klabu ya Pamba Jiji yenye makazi yake Jijini Mwanza wanadai kuzimiwa taa wakati wa mazoezi yao ya Mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga Sc hapo kesho. "Hii ndiyo hali tuliyokutana nayo uwanja wa taifa, taa zimezimwa tumefanya mazoezi gizani".
  6. chiembe

    Mnaokarabati uwanja wa Benjamin Mkapa, msisahau kuu-pimp kwa kuuwekea urembo/decorations, bustani za nje, viti vya V. i. P viwe leather. Pitch vipi?

    Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza. Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu. N. B. Media house ziombe tour ndani ya uwanja...
  7. A

    KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  8. DexterLab

    Umewatambua nani na nani?

  9. DELETED ACCOUNT

    Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  10. C

    Kwanini watu wa bara hatuna aibu linapokuja suala la upigaji hela? Hivi Benjamin Mkapa mbona inapoteza mvuto baada ya ukarabati?

    Kila nikijaribu kuangalia viti vilivyopangwa,rangi zake zinakuwa kama zimepigwa jua miaka 20,nikiangalia na viwanja vingine naona kama kinachosemwa bilioni 30 ni usanii mtupu! Uwanja umemeza mabilioni lakini kwa nje hauvutii kabisa,ni kama ulihitaji dressing na finishing ya kisasa lakini hakuna...
  11. JanguKamaJangu

    Waziri Kabudi amteua Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao Makuu ya Wizara hiyo aliyekuwa Meneja wa Uwanja huo Bw. Malinde Mahona ambaye atakuwa msimamizi wa...
  12. The Burning Spear

    PreGE2025 Kumbukizi: CUF walivyopigwa kama mbwa kipindi cha Mkapa. Je, Samia naye atakuja kujutia haya anayotenda sasa kama Mkapa?

    GT Police wa Tanzania ni wendawazimu kabisa na hawana adabu kwa raia, Check hiki kipigo wanampiga mtanzania mwenzao kisa ulafi wa madaraka wa politicians.
  13. Waufukweni

    Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
  14. Waufukweni

    Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  15. Abraham Lincolnn

    Tazama pitch ya Bilioni 31 iliyoidhinishwa tangu mwaka 2023 na mgombea urais wa CCM anayetaka kurudi ikulu kwa mara ya pili

  16. chiembe

    Hii pitch ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio itatumika kwa michuano ya CAF 2027? Imejaa matope

    Mechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
  17. Mbwichichi

    CAF walikuwa sahihi, uwanja wa Benjamin Mkapa hauna sifa za kuhodhi mechi za CAF

    Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa. Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo. Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea. Uhalisia wa pitch ni tofauti...
  18. Labani og

    Mashabiki wa Yanga wakusanyika kusubiri hatma ya Kikao nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa, wagoma kucheza Kariakoo Derby

    Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8. Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
  19. Ubaya Ubwela

    Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April Huu...
  20. Waufukweni

    Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

    Wakuu Yanga tayari wamewasili uwanjani benjamin mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa. Soma, Pia Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba Ahmed Ally awaomba radhi...
Back
Top Bottom