Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?
Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela?
Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza leo Februari 26, 2026 na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, amezungumzia meli iliyokamatwa nchini El Salvador ikiwa na tani 6.6 za cocaine na kubeba bendera ya Tanzania.
Msigwa amesema meli hiyo...
Tanzania
Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe
Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29.
Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29?
Mao
Ndugu zangu Watanzania,
Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika.
Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limekamata meli mbili zilizokuwa na bendera ya Tanzania, zikidaiwa kuwa zilisafirisha mafuta ya dizeli kwa njia ya magendo katika Ghuba ya Uajemi,
Shirika la habari la Fars limeripoti kuwa meli hizo, zilizosafiri chini ya majina ya...
Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38, huko anakwenda kupambana na miamba mingine kutoka Kenya na Ethiopia kwenye mchezo wa Riadha Duniani.
Bendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara ya kwanza zilionekana bendera za taifa la Tanzania zikiwa pamoja na rangi yake imeongezwa picha ya...
Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki “FTX Ushirikiano Imara 2024” lililofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.