beki

Beki is a title of nobility used by the Mongols and other steppe societies in the Central Asia in the medieval period. The exact meaning of the title is disputed, although possibly meant "honored shaman", and while frequently used for noble women, some men also used the title.

View More On Wikipedia.org
  1. Nini kilimkuta beki wa USA katika goli hili la Ghana?

    Kuna goli moja aliwahi kufunga mshambuliaji wa Ghana, Asamoah Gyan katika Kombe la Dunia 2010 katika mechi ya Ghana vs USA. Wakati Gyan anaelekea kufunga aligongana na beki wa USA, Carlos Bocanegra (jersey # 3) ambaye alionekana kupoteza uelekeo huku akiangaza juu, halafu Gyan akapata fursa ya...
  2. Sioni sababu ya Watu (hasa wana Simba SC ) Wenzangu Kulalamikia Tuzo ya Beki Bora aliyopata Dickson Job

    Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job? Dickson Job ambaye Kacheza vyema Beki wa Kati, Beki za pembeni ( Kulia na Kushoto ) na Kazimudu villivyo unaweza...
  3. Ambangile: Inonga ndio beki bora wa kweli na halali

  4. Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

    Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue. Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani? Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
  5. S

    Simba Imekamilisha Usajili wa Beki Devid Kameta Duchu

    - Nyota David Kameta ‘Duchu’ aliyesajiliwa na Simba kutoka Lipuli FC ya Iringa miaka mitatu nyuma na alicheza Simba kabla ya kutolewa kwa mkopo Geita Gold na Mtibwa amesaini kandarasi mpya ya kuitumikia Simba wakati mkataba wake ulikuwa unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu. -David amekuwa...
  6. Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  7. Nimesikitika kuona Beki Djuma Shaban na Zanzibar finest Ibrahim Bacca hawapo kwenye orodha ya tuzo TFF

    Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao. Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia? Kwa...
  8. Beki wa Kimataifa Henock Inonga atumike kama 'Blueprint' ya Usajili wa Wachezaji wa Kimataifa wa Simba SC kwa Msimu ujao

    GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga..... 1. Kujiamini mno Uwanjani 2. Uwezo mkubwa sana 3. Control ya uhakika muda wote 4. Akili nyingi Uwanjani 5. Mwenye Ari ya Upambanaji 6...
  9. B

    Serikali imfanyie uchunguzi Mwamnyeto, inawezekana ni forward au kiungo halafu anatuzuga ni beki

    Sina mengi wenyewe mmeona kwenye mechi ya Leo tarehe 23 April 2023 wakicheza Yanga na Rivers United huko Nigeria Naomba kuwasilisha
  10. Beki wa zamani wa Man United, Wes Brown afilisika

    Brown (43) ambaye alikuwa analipwa mshahara wa Pauni 50,000 (Tsh. Milioni 145) kwa wiki ametangaza hali hiyo Mahakama Kuu ikiwa ni mwaka mmoja tangu kuvunjika kwa ndoa yake. Nyota huyo aliyedumu United kwa miaka 15, na kucheza mechi 23 za timu ya Taifa ya England aliondoka katika nyumba...
  11. S

    Tetesi: Beki kisiki Kasaini tena Yanga

    Mlinzi wa kati mwenye uwezo wa kukaba hadi upepo Dickson Job amesinya mkataba wa miaka miwili kuendelea kutwanga/kucheza Yanga,ni suala la muda kwa Yanga kutangaza taarifa zake, bwana mdogo bado ni wanjano na kijani hivyo bado atakua pale kwenye ukuta wa Yanga!!. Ikimbukwe job alikuwa na...
  12. Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

    KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali. Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench hakuonekana. Liko wapi beki la CHAN
  13. Leo zingekuwa zile beki zao Taifa Stars angefungwa

    Nimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax. ~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa kupoteza mpira ila kwenye kukaba uko vizuri. ~ Mudathir well performance big brain pale kati palitulia ~...
  14. Huyu hapa beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini Mohamed Ouattara

    Hayo sio maneno yangu, ni maneno ya watu wa Simba walivyokuwa wakimpamba beki wao mpya. Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?
  15. Beki wa Barcelona: Gerard Pique atangaza kustaafu kucheza soka

    Beki huyo wa kati wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, kesho Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp Uamuzi huo wa ghafla ameutoa miezi mitano tangu avunje uhusiano na Shakira aliyekuwa mpenzi wake kwa muda mrefu...
  16. T

    Simba SC haimtendei haki beki wa kimataifa, Mohammed Ouatara

    Inashangaza sana mara baada ya beki aliyeisha makali yake, Joash Onyango kupeleka ombi la uhamisho kwa uongozi wa Klabu ya Simba, mambo yakaanza kubadilika kwa beki gwiji raia wa Ivory Coast Mohammed Ouatara, akaanza kusugulishwa benchi mfululizo. Yaani toka kocha "Mzawa" Juma Mgunda atue...
  17. N

    Kwako Magori: Tunahitaji kiungo mkabaji na namba 9 na beki 2/3 siyo kiungo mashambuliaji

    Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa? Putin Kanoute anajitahidi ila kwenye mechi kubwa za presha yule ni straight red card anytime, halafu ni mtu wa majeraha sana. Haya...
  18. William Saliba ni moja kati ya mabeki wa kati bora zaidi duniani

    Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille. Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali. Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
  19. Mwanamke asema beki wa Man City alimfungia chumbani kisha akambaka

    Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka. Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa kwa makosa 10 dhidi ya Wanawake 7 (mdogo zaidi akiwa na umri wa miaka 17) anayodaiwa kuyatenda kati...
  20. M

    Je, unadhani 'perfomance' ya Kinidhamu aliyoionyesha leo Beki Henock Inonga inatokana na lipi kati ya haya yafuatayo?

    1. Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston MINOCYCLINE Mayele amemuadabisha baada ya Kuifunga Simba SC goli zake Mbili na akipitia Kwake Beki Inonga? 2. Wana Simba SC tuliomchana live hasa katika Ukurasa wake wa Instagram na Twitter kutokana na Kucheza Kwake na Jukwaa, kupenda Sifa na Kujiamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…