bei nafuu

  1. T

    Car4Sale Higer bus. Bus la kifahari kwa bei nafuu

    Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4 Lenye choo au bila choo Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu Weka order yako sasa πŸ“ž +255622726182 πŸ“Magomeni Kanisani Stock ni limited
  2. Wapi Chimbo la Suti za Kishua kwa bei nafuu?

    Wakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
  3. SOFTWARE Nauza Mfumo wa Kusimamia stock, mauzo, manunuzi na kutunza ripoti zote za kifedha kwa bei nafuu sana

    Habari wanaJF, Hebu niulize swali la msingi kwa wamiiki wa biasharaπŸ‘‡ Ukiwa nyumbani, safarini au nje ya nchiβ€”unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi? Kama jibu ni hapana, basi biashara yako inaendeshwa kwa bahati, sio kwa taarifa. Kuna ukweli mchungu ambao wafanyabiashara wengi...
  4. Nauza bando za Halotel kwa bei nafuu

    Habari wakuu,karibuni niwauzie bando Kwa bei nafuu,Leo ninayo ofa nitakuuzia Gb 10 Kwa elf 8 tuu,kwa wasio amini ntakutumia bando ndio unilipe,karibuni Simu: 0625927098
  5. E

    wakuu nauza matairi ya malori bei nafuu sana

    matairi ya malori yapo brand mbalimbali kuna size zote na brand zetu ni semes/ aurunze/ sky base/oben na gft pia kuna paten ya diff/mixer/high way/ na nyinginezo na tunauza kwa bei ya jumla na rejareja tupo tazara opposite na sigara jengo la five star complex tell:0691254107
  6. Seti ya mikufu na hereni bei nafuu kabisa

    🌟 Seti za Mkufu & Hereni za Kifahari! 🌟 ✨ Ni nyepesi – hazina uzito ✨ Haipauki – inabaki kung’aa muda wote ✨ Ubora wa juu, wa kuvaa na vazi lolote! πŸ“ Arusha Town 🚚 Tunatuma mikoa yote! πŸ’° Bei: 23,000/= πŸ“ž 0712 350 159
  7. Generator na vifaa vyote vya workshop kwa bei nafuu

    Uzi wa Generators na vifaa vyote vya mafundi mbalimbali kwa bei nafuu. Tupo kariakoo ndanda na muhonda Whatsapp/kawaida 0614228735
  8. Bake fluid tester

    πŸš— Brake Fluid Tester Pen – Kagua Ubora wa Brake Fluid Kwa Sekunde! πŸ”§ Universal β€’ Digital β€’ 5-LED Indicator πŸ”‹ Faida Kubwa: βœ” Huonyesha kiwango cha maji kwenye brake fluid (0%–4%+) βœ” LED 5 za kuonyesha hali ya usalama: 🟒 0% – Brake fluid bado ni salama 🟑 1–2% – Inakaribia kuharibika πŸ”΄ 3–4%+ –...
  9. Kwa nini vifurushi vya Visimbuzi kama DSTV na AZAM nchini Tanzania Bei iko juu kuliko Nchi nyingine?

    DSTV inamilikiwa na MultiChoice Group, kampuni ya Afrika Kusini yenye makao makuu Randburg, Johannesburg. MultiChoice ilianzisha DStv mwaka 1995, na tangu wakati huo imepanuka kutoa huduma za televisheni za kulipia katika sehemu nyingi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwa ni pamoja na...
  10. B

    Tunatengeneza showcase (tv unit's) za kisasa kabisa kwa bei nafuu sana,,

    Mko poa maboss zangu.. Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa. Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani. Bei hutokana na ukubwa uutakao boss.. Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase.. Pia za...
  11. B

    Tunatengeneza showcase (tv units) za kisasa kwa bei nafuu sana

    Mko poa maboss zangu.. Karibu tukupendezeshee seble yako kwa showcase za kisasa. Zipo za kuhamishika na zipo za kujengea ukutani. Bei hutokana na ukubwa uutakao boss.. Za kuhamishika zinazobeba na tv Bei huanzia laki 4na 80 had lak 6 na nusu ni kulingana na ukubwa wa showcase.. Pia za...
  12. Wale Wanaopanga kumiliki magari used ya bei Nafuu: Tazama plan Yetu bila Riba

    Habari zenu wakuu. Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja. Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
  13. Y4s wameleta router za bei nafuu 99000 tu pamoja na offer ya kutumia miezi miwili bure

    Baada ya watu wengi kushindwa kulipia 250k kwaajili ya router ya 5G, YAS wameona walete router 4G+ za bei ya mwananchi na zinazokuja kumaliza kilio cha watu wengi waliokua wakihitaj router za yas. BEI NAFUU. Router hizo zinapatikana kwa bei ya 99000 tu ambaayo inalipwa moja kwa moja kwenda...
  14. P

    Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..). MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...
  15. KISS OF LOVE 'Body Splash' nazipata wapi kwa bei nafuu?

    Hizi Body Splash zinapendwa sana na watu wa vipato vya kawaida ambao ndio wengi, changamoto ni kwamba zimepanda bei na hii ni kwasababu ya demand kuwa kubwa. Je muuzaji mkubwa wa hizi Body Splash hapo Dar ni nani nione kama naweza kuzipata kwa unafuu, maana nimezoea kununua kwa wauzaji wa...
  16. Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
  17. Huduma ya Research Proposal, Thesis, Data Analysis na Assignments kwa Bei Nafuu – Vionex Solutions

    Unahitaji msaada wa kitaalamu katika uandishi wa Research, Data Analysis, Assignments, au Documents mbalimbali? Vionex Solutions tunakupa huduma bora na nafuu β€” tutaandaa kazi yako kwa umakini na viwango vya juu! Wasiliana nasi leo: WhatsApp / Simu: 0615 044 338 Email...
  18. Mradi wa viwanja kigamboni puna beach plots&residential plots

    Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏑 Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800 πŸ”΄ PUNA BEACH PLOTS – Kigamboni πŸ“ mradi upo umbali wa: Km 38 kutoka Ferry Km 35 kutoka Daraja la Nyerere Mita 500 kutoka barabara kuu Mita 650 kutoka baharini 🌊 πŸ’° Bei: 1 sqm = TSh 22,000...
  19. INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  20. Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Waweza nicheki kupitia Whatsap number 0679169532
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…