Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia
Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa?
Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu kukamatwa kwa wanachama 29 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwemo wanawake 20 na wanaume 9, ambao baadaye waliruhusiwa kwa dhamana.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa Machi 8, 2026 na Ofisi ya Kamanda wa Polisi...
GT
Sijui mentor wa maCCM ni nani? Mnazidiwa akili na chadema yenye rasilimali watu wachache
Chadema walijua kabisa mkiwazua kufanya Tamasha lao ndo watapata airtime zaidi huko duniani na mtego huo mmeshindwa kunasua.
Kama mgepiga kimya wakajifanyia Tamasha lao hakuna mtu angekaa kufuatilia...
Jeshi la Polisi Bunda mapema leo limewakamata jumla ya Bawacha 39 kutoka mikoa ya Dodoma na Iringa. Kati yao, 31 wanatoka Dodoma na 8 wanatoka Iringa.
Awali Bawacha waliotoka Dodoma walikuwa wanasafiri kwa kutumia basi dogo aina ya Coaster, huku wale waliotoka Iringa wakiwa kwenye basi la...
"Jeshi la Polisi halina mamlaka ya kutoa tafsiri ya kimahakama au kujichukulia hatua zozote bila kupewa maelekezo na mahakama. Wanawake nchi nzima tumejiandaa tunampango wa kusafiri kwenda Musoma katika Maadhimisho ya siku ya Mwanamke Duniani, tunajua hatujavunja Sheria." Amesema Pamela...
Haya matamko ya polisi Musoma kuwa wanazuia maazidhimisho ya chadema ya Siku ya wanawake duniani, italeta mauaji kama ya October 29,2025.
Tunayasema haya wenye mamlaka wazuie POLISI kufanya kinyume cha sheria.. Yalisemwa hivi hivi, wenye viburi wakadharau.
Leo tunalia na tume za michongo!
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba siku ya wanawake ya Dunia siyo shughuli ya Kisiasa Wala si sherehe ya COM ama si mali ya TANZANIA ama viongozi wake
Hii ni siku ya Dunia isiyochangamana na masuala ya itikadi za vyama.
Kwahiyo Katazo la Polisi wa com limedhibitiwa n.a. kupuuzwa, Chadema...
Salaam!
Nimemsikia kiongozi wa BAWACHA akiunga mkono kauli ya makamo mkt Taifa John Heche kuhusu kutoitambua Serikali na uchaguzi batili uliofanyika.
Sasa kosa la kiufundi linakuja pale msemaji huyo anapoitaka Serikali iwachukulie hatua wote waliohusika na mauaji ya October 29.
Serikali huja...
Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Pwani limelaani hatua ya Polisi Mkoa wa Morogoro kumshikilia mwanachama wake, Lucy Shayo, kwa zaidi ya siku tatu bila dhamana, wakidai kitendo hicho ni kinyume cha sheria na haki za binadamu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Septemba 13, 2025...
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
===
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.”
Akizungumza na...
Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) Taifa, Bi. Sigrada Mligo, amehutubia kwenye mkutano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), uliofanyika Makambako mkoani Njombe leo Julai 17, 2025.
Mligo katika hotuba yake amesema wananchi wanahitaji Wawakilishi...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi.
Akihutubia wakazi...
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati Emmy Kibatala amesema kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujawateteresha hasa kuelekea uchaguzi mkuu ambapo amedai watashiriki ikiwa mifumo ya uchaguzi itawekwa sawa...
Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.
Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.
Kazi ipo
Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ilala Nice Gisunte amesema wanachama wa Chadema kwa sasa wanajua kinachoendelea dhidi ya wanachama wa Chama hicho wanaojitoa Uanachama kuwa kuna Mradi wa kimkakati unaendelea dhidi yao.
Gisunte amesema wanazo taarifa kuwa G55 waliojitoa uanachama wa Chadema...
Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini Dar es salaam.
Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Siha, Imma Saro...