bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeguswa na mambo 2 katika mchakato wa BAVICHA

    Binafsi si mwanachadema ila kipindi hiki nimefuatilia michakato ya chadema kuliko wakati mwingine wowote. Moja ya suala lililonifikirisha ni jinsi gani hawa vijana wadogo wanavyokuwa damaged na mambo yanayotokea hasa kijana Deogratius Mahinyila alipotaja kuwa alikuwa mwanasheria wa Deusdedith...
  2. Shangwe la CHADEMA Arusha wakifurahia ushindi wa Deogratius Mahinyila kama Mwenyekiti MPYA wa BAVICHA Taifa

    Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025 Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi...
  3. B

    Je, Mwenyekiti mpya BAVICHA, Wakili Deogratius Mahinyila ni nani?

    14 Januari 2024 Wakili wa Mahakama Kuu achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa BAVICHA Chadema leo 14.01.25. Je Wakili msomi Deogratius Mahinyila ni nani ? Picha maktaba : Deogratius Cosmas Mahinyila Wakili wa mahakama kuu ya Tanganyika Deogratius Mahinyila leo ametangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa...
  4. Mahinyila mfuasi wa Lissu ashinda nafasi ya M/kiti Bavicha Taifa

    Mahinyila, ambaye ni muumini na mfuasi wa Sera za Lissu, ameshinda na kutangazwa ndiye Mwenyekiti wa Bavicha Taifa. Wakati wa kutangazwa Kwake, mamia ya Wana Bavicha wameinuka na kuimba kwa kutaja jina la Lissu kwa shauku kubwa!
  5. Hotuba ya John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA ni Ishara Vijana wa CHADEMA choka Mbaya

    Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
  6. Vurugu mkutano wa BAVICHA, Waandishi wafukuzwa tena katika ukumbi wa Uchaguzi

    Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam (leo, Jumanne ya Januari 14.2024) vurugu zimeshuhudiwa tena kati ya wanahabari na baadhi ya vijana wa BAVICHA ambao wamepinga wanahabari kuwepo kwenye ukumbi wa uchaguzi, wanahabari waliingia ukumbini hapo baada ya kuruhusiwa na msimamizi wa uchaguzi huo...
  7. W

    PreGE2025 POTOSHI Pambalu: Ukiwa na laki tatu tukawakamata wajumbe watakuchagua kuwa mwenyekiti wa BAVICHA

  8. M

    BAVICHA ya Pambalu imesheheni wahuni siyo wanasiasa

    Nimefuatilia Uchaguzi wa BAVICHA unaonekana umejaa wahuni wasiojitambua kabisa wakiongozwa na Mwenyekiti wao,nimeona wengine wanasema walifoji vyeti ili wagombee,wengine wanasema bila Posho hakuna kura,wengine wanakamata walipa Posho wanawatangaza ni watoa Rushwa bila kujua athari zake kwa Chama...
  9. BAVICHA watoa ufafanuzi mazingira ya rushwa kwenye uchaguzi wao

    Taarifa ya BAVICHA iliyo chapiswa kupitia mtandao wa X imeeleza kama ifuatavyo Si kweli kuwa kuna mazingira ya rushwa (kwenye uchaguzi wa BAVICHA Taifa , Idrissa Kassim alikabidhiwa fedha za nauli kwa wajumbe wa BAVICHA kutoka Kanda ya Magharibi, wakati akiwalipa ndio ilitafsiriwa kuwa anatoa...
  10. PreGE2025 Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa nauli uchaguzi Bavicha

    Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli. Uchaguzi wa Bavicha unaendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 13, 2025. Pia, Soma...
  11. Kinachoendelea katika Uchaguzi BAVICHA Taifa

    https://www.youtube.com/live/alKQnvp2Ei8?si=6igthwmbdWuJGUXI Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu. Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam sehemu ambapo mkutano mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA Taifa unaendelea hivi ndivyo hali inavyoonekana nje ya ukumbi...
  12. BAVICHA tayari moshi mweupe

    Kambi ya mabadiliko imeanza na BAVICHA. Twende kazi mpaka kieleweke. Kule tayari moshi mweupe umefuka.
  13. Waandishi wa Habari waondolewa katika ukumbi wa Uchaguzi wa Baraza la Vijana CHADEMA

    Katika hali isiyotarajiwa waandishi wa habari na wadau wengine wanaotajwa kutohusika moja kwa moja na uchaguzi, wameondoshwa kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kwa sasa wanaostahili kubali ni...
  14. Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

    Wakuu, Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena. Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi? Mbowe ajitafakari sana!
  15. Aliyoyasema Abdul Nondo akiwa kwenye mkutano wa Baraza La Vijana la CHADEMA (BAVICHA)

    Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 13, 2025 amesema: “Sisi vijana wa vyama...
  16. W

    PreGE2025 Mjumbe wa mkutano mkuu BAVICHA alilia posho ya kujikimu, 'tuliambiwa tutalipwa ila hadi sasa bado, kwa hali hii tunaweza kuepuka rushwa?'

    Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa. "Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha Kupata...
  17. PreGE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

    BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi...
  18. J

    Uongozi mpya wa Bavicha kuchaguliwa leo

    Uchaguzi Mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu kwa siku ya leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wanakutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
  19. Live: mdahalo wa wagombea wa Bavicha taifa na Chief Odemba

    === Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo. https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
  20. CHISAYE: Mwenyekiti BAVICHA Taifa ajae ni Wakili Mahinyila kwa sababu anamuunga mkono pia Mwenyekiti wa Taifa ajae ambae ni Tundu Lissu

    JE UNAMJUA DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA? MAMBO 10 KUMHUSU MGOMBEA WA UENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA - TAIFA) WAKILI DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA. 1. Deogratias Cosmas Mahinyila, Ni Wakili wa kujitegemea wa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mahakama zilizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…