JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa ufafanuzi kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa watuhumiwa wanne, akiwemo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella (33), wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi.
Akizungumza na vyombo vya...
Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya kusomwa kwa hoja za awali.
Mashitaka 2 yameongezwa na kufanya jumla ya makosa kuwa 11.Upande wa Jamhuri...
Na Wakili Charles N. Heche
Mwaka 2023, aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu, alitua katika Uwanja wa OR Tambo kuhudhuria semina akiwa na timu ya rafiki zake. Ni katika kipindi hicho Operesheni ya CHADEMA ilisimama kwa sababu chama kilikosa fedha za usafiri na posho kwa wajumbe. Swali...
Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa kupitia kwa Katibu Muenezi wa BAVICHA Taifa, Felius Festo kinimi watoa tamko juu ya yaliyotokea yaliyotokea Oktoba 29, 2025, "wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"
John Pambalu ameandika:
Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi.
Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa...
Tamko rasmi la Baraza la Vijana Chadema Taifa (BAVICHA) kuunga mkono maandamano ya vijana wa Gen Z, kesho Oktoba 29,2025.
==
Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) limeundwa kwa mujibu wa ibara ya 7.8.2 (a) ya katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya mwaka 2006 toleo la 2019...
Kijana kakikacha chama chake bila shaka kafuata maokoto ya CCM
=================
Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA
Alon Kalomba amemuhakikishia Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Tarehe 29, Oktoba hakutakuwa na Maandamano.
Alon ametoa kauli hiyo kwenye mkutano...
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limelipinga vikali kauli zilizotolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohamed Ally Kawaida, dhidi ya Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, likisema kauli hizo zimejaa dharau, upotoshaji na kukosa...
Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao leo, Jumatatu Septemba 15.2025 wamejitokeza kwa wingi Mahakamani hapo kuja...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikiliwa watuhumiwa 18, akiwamo Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wakituhumiwa kufanya mikusanyiko iliyo kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa...
TAARIFA KWA UMMA
Msafara wa viongozi wa BAVICHA Taifa na Kanda ya Kaskazini, ukiwa njiani kuelekea nyumbani kwa familia ya akina SOKA kama sehemu ya kuenzi mashujaa wetu, umekumbwa na vizuizi visivyo halali. Magari ya polisi yamezuia msafara huo takribani mita 100 kutoka barabara ya Kibosho...
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Gasper Temba, hajatekwa isipokuwa amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kughushi nyaraka.
Aidha, Jeshi hilo limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuacha kusambaza...
Ndugu Temba Gaspar Erasmus mwenyekiti Wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini Adaiwa Kutekwa na Watu wasiojulikana akiwa anatoka kwenye moja ya Benki jijini Arusha.
Taarifa zaidi kukujia
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila.
Taarifa kutoka BAVICHA zimesema askari wa kutuliza ghasia walizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na...
Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita Vijijini, Mbeshi Paulo, ameripotiwa kutoweka katika mazingira ya utata baada ya kuchukuliwa na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa askari wa Polisi.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila, kupitia ukurasa wake...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo mkoani Mbeya, Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya Elisha Chonya amesema kwamba CHADEMA wana haki ya kuendelea na mikutano ya kisiasa kwani katazo la Mahakama halikuwalenga viongozi wote wa CHADEMA bali viongozi wachache.
Akiwa anazungumza kwenye kikao chao mkoani Mbeya ...
Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu.
Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda...
Aliyekuwa Katibu wa Vijana wa Vyuo vikuu Mtandao wa Wanafunzi (CHASO) wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenezi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Jimbo la Ukonga Ndugu Eliah Mlewa Rasmi amehamia Chama Cha Mapinduzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Wajumbe wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Cchadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, leo tarehe 7 Aprili 2025, wamemchagua Joseph Mussa Mahindoni kuwa Mwenyekiti mpya wa baraza hilo katika uchaguzi uliofanyika katika Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kati.
Soma Pia: Shangwe la CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.