FAHAMU ZAIDI:
Corrugated / Migongo Midogo rangi ya carrot ni nzuri sana hustahimili hali zote za hewa mvua na jua kwa ubora uleule huzalishwq kwa Geji30 ambazo zinakaa 16pcs kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando
kwa kila bando na Geji28 zinakaa 12pcs kwa kila bando
FAHAMU...
Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini.
Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini.
Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi
Mpigie...
Wakuu mambo vipi?
Nina bati 8pcs za Alaf mgongo mpana (Chacoal grey) na mifuko 4 ya misumali (Kila mfuko una uzito wa 1Kg na misumali 100pcs). Material hizi zilibaki baada ya kupaua.
Kwa ambaye anazihitaji ninaziuza.
1. Kila bati ninauza Tshs 34,000. Kwa bati zote bei yake ni Tshs. 272,000...
Wanabodi kama mada inavosema,nimepitia maoni mengi kuhusu uezekaji na gauge pendekezwa ni 28,lkn binafsi nataka kutumia gauge 26,naombeni ushauri wenu wa kitaalamu nipate elimu na kufanya maamuzi
Nyumba zinaweza kuwa na paa linaloonekana au paa lililofichwa (hidden roof), na kila aina ina faida na changamoto zake.
1. Nyumba zenye bati linaloonekana
✅ Muonekano wa kawaida – Hizi ni nyumba za jadi ambapo paa linaonekana wazi kutoka nje.
✅ Urahisi wa matengenezo – Ni rahisi kugundua na...
Vituo vingi vya mafuta hutumia bati la paa bapa (flat roof) kwa sababu kadhaa za kiufundi na kiusalama:
✅ Usalama wa Moto – Paa bapa husaidia kudhibiti moto kwa urahisi ikiwa kuna dharura. Moto husambaa polepole kwenye paa bapa kuliko paa lenye mteremko⁽¹⁾.
✅ Udhibiti wa Joto – Flat roofs...
habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
Hio bajeti ya Hizo bati zilizo kimbia juu kama mt. Kilimanjaro si ndio ungetengeneza ka-study room kakiaina kenye mini -library mshenzi.
Ila nitaishia kuambiwa: " TAFUTA HELA WEWE MATEMBELE HAYANA LADHA YA NYAMA"
Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500
Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669
Ukitaka fundi kupaua pia yupo
Wataaalam wa uezekaji mnaweza kutusaidia Kwa hili. Na vigezo vya ubora ni vipi?
Jee Gauge 28(Geji 28) ya Ando ndiyo geji hiyo hiyo Kwa ALAF. Yani kipimo cha geji ni kimoja kwa mabati yote?
Kama kipimo cha geji kwa mabati yote ni kimoja, Sasa nini kinacholeta utofauti kwenye mabati toka kwenye...
Utangulizi
Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu.
Thanks in advance 🙏🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.