bashungwa

Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian Minister of Industry and Trade and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015. He was appointed Deputy Minister of Agriculture by President John Magufuli on 10 November 2018. On November 13, 2018, he was sworn in as Deputy Minister.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Bashungwa ? Akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kibri na dharau Madaraka ni koti la kuazima

    Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa? Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni...
  2. JamiiForums Tanzania Wabara waliwasha nyota ya Samia mpaka alipofika ila yeye amezizima nyota za akina Makamba, Biteko, Bashungwa na wenzake ili iweje?Thabiti Kombo oye

    Jakaya ndo alimkuza Samia na kumfikisha Bara mpaka hapo alipo ni juhudi za Kikwete na genge lake, jambo la kushangaza amekuja kuzima nyota za akina Bashe, Bashungwa, Biteko na wenzao wakina Makamba sasa sijui anafaidi nini? Ameishia kutuletea mijitu ya ajabu ajabu ikina Thabiti Kombo sjui kama...
  3. JamiiForums Tanzania Bashungwa itubu dhambi ya uuaji 29.

    Kama utaki utajiju
  4. JamiiForums Tanzania Wako wapi akina Dotto Biteko na Inno Bashungwa?

    Tangu wamwagwe, sijawasikia hao machawa hapo juu. Anayejua wako wapi na wanafanya nini atujuze. Kama wako humu wajue, tunafurahia walivyofanyiwa kitu mbaya baada ya kutumika na kutupwa kama ganda la mua. Uchawa na ufunza havilipi.
  5. JamiiForums Tanzania Mwigulu ajifunze toka kwa Dotto Biteko, Bashungwa na Tulia Akson

    Watajwa hapo juu walitumiwa na kubwagwa baada ya kutumika. Naona, hata huyu Mwigulu ataishia huko huko muda si mrefu. Najiwazia tu.
  6. JamiiForums Tanzania Simbachawene VS Bashungwa: Vijana tumejifunza nini?

    Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako. Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Bashungwa, nilikwambia - hukunitilia maanani

    Kabla ya kufungiwa kwa Kanisa la Gwajima tuliongea; ilipotolewa barua ya kufungiwa nikakutafuta kwa njia nyingine nikakwambia “Serikali ijitenge na hili” - nayo ukanipuuza. Ilipofika kufungiwa, nikakutafuta na kukushauri maamuzi ya haraka yafanywe na pande mbili ziongee - ukanieleza upande...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulia, Biteko, Bashungwa, Makamba, Mwalimu na wengine mlobanjuliwa jiungeni na upinzani tuizike CCM

    Kichwa cha habari kiko wazi. Waathirika wa serikali haramu fanya kweli kama ilivyotokea Kenya mwaka 2002 tuizike CCM. Wakati muafaka ndo huu.
  9. JamiiForums Tanzania Innocent Bashungwa: Mtanzania aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wakati watanzania wanauawa Oktoba 2025

    Bro alikuwa na kiherehere sana. Naombeni mniitie nimsalimie kidogo
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashungwa, Mhagama watupwa nje!

    Huu mchezo hauhitaji hasira. Na Bashungwa na mbwembwe zake kuelekea Uchaguzi. Ulitumika effectively brother. Yaani, ukatumika kufungia Kanisa la Gwajima, matumizi yako yamefika mwisho bro
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bashiri Baraza la Mawaziri litakavyokuwa

    Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais. Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  12. JamiiForums Tanzania Utabiri: Taja jina la mbunge unayetamani awe Waziri Mkuu mpya wa Tanzania?

    Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM. Tupe utabiri wako
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Uongozi wa Rais Samia, Karagwe imekuwa kama Switzerland kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa

    Bashungwa acha uongo wewe! Hiyo Switzerland unajua vizuri kweli! Uchawa unakusumbua sana Vumbi limejaa pale, wakazi wengine hata maji hakuna ====================== Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Karagwe Mkoani Kagera na Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Innocent Bashungwa amesema...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Hakuna chama zaidi ya CCM chenye uzoefu wa kuongoza nchi yetu bila kuingia kwenye machafuko ya kivita

    Mgombea ubunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuendelea kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko. Bashungwa ameyasema hayo jana Oktoba 10, 2025 katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Kijiji cha...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Innocent Bashungwa, ameendelea na kampeni za kuomba kura za Mgombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Karagwe kwa kueleza kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  17. JamiiForums Tanzania Bashungwa atunuku Vyeti Wafungwa 170 waliohitimu Mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amewatunuku vyeti Wafungwa 170 waliomaliza mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara yaliyotolewa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Gereza kuu Arusha. Hafla ya kutunuku vyeti hivyo ilifanyika...
  18. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Bashungwa anaendelea kutoa amri kwa jeshi la polisi? Uwaziri bado haujakoma tu hata baada ya bunge kuvunjwa?

    Ufafanuzi tafadhali kwa wenye uelewa na sheria na katiba wakati wa kuelekea uchaguzi.
  19. JamiiForums Tanzania Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Innocent Bashungwa amuagiza IGP kudhibiti wahalifu wanaotumia Mitandao kuvuruga amani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, kuhakikisha Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama linaimarisha doria mtandaoni (online patrol) kwa lengo la kudhibiti baadhi ya wahalifu wanaotumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…