baraza la usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  2. H

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Latoa Azimio la Kulaani Mashambulio Yake kwa Nchi Majirani

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limelaani mashambulio ya Iran kwa nchi za kiarabu, na kuitaka kusimamisha mara moja. Karibia nchi zote wajumbe wa kudumu na wajumbe wa mzunguko wamelipitisha azimio hilo, isipokuwa Urusi na China ambazo ziliamua kutopiga kura, lakini hazikutumia kura zao za...
  3. H

    Iran Yalalamikia Baraza La Usalama, Yasema Mashambulizi ya Israel Labanon Yameua Wanadiplomasia Wake 4 Walioenda Kwa Mwaliko Mwaliko wa Lebanon

    Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne. Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
  4. O

    Iran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanyia kikao cha dharura Baraza la Usalama.

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa." Vyanzo...
  5. H

    Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na Jeshi la Polisi Tanzania, Tuombe Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Lilitangaze Kuwa ni Kundi la Kigaidi

    Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua; Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ulaya, Umoja wa Afrika na SADC, wakatangaza rasmi kuwa kinachoitwa...
  6. Huihui2

    IDF yamuua Ali Akbar Ahmadian, Katibu wa Baraza la Usalama la Iran

    Dakika chache baada ya kumdundua Hoseni Salami kamanda wa IGRC, Israel pia imemuua Ali Akbar Ahmadian ambaye ni Katibu wa Baraza la Usalama la Iran
  7. Echolima1

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza. Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia. Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
  8. Bams

    Baada ya Tishio la Marekani Kuiadhibu, Iran Yajitetea Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baada ya Rais Trump kutoa onyo kwa Iran kuwa mashambulio ya Houthis wa Yemen dhidi ya meli za kiraia yanasaidiwa na Iran, kwa Iran kwa Serikali ya Iran kuwapa Houthis makombora, drones na taarifa za kiintelijensia, na kwamba kuanzia sasa kombora lolote lirakalorushwa na Houthis, Iran inalipa...
  9. Lord Denning

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laitaka Rwanda kuondoa majeshi haraka nchini Congo

    Baada ya Viongozi wa Africa kufanya vikao vyao vya kunywa kahawa Dar es Salaam na Zimbabwe huku wakipiga picha kwa mbwembwe bila kuupatia suluhisho la kudumu Mgogoro wa Congo naona wazungu wameamua kuwaonesha Waafrika kwa nini wanawaitaga Nyani. Baada ya jana Wizara ya Fedha ya Marekani...
  10. Alvin_255

    Hali ya usalama Mashariki mwa DRC

    Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025 Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa unafanyika leo, Jumapili, Januari 26, 2025; Kwa sababu ya kuongeza mapigano kati ya #FARDC na kikundi...
  11. demigod

    Baraza la Usalama la Israel: Tutalipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni kwa kosa la kushambulia makazi ya Netanyahu

    Channel 13 ya Israeli jioni hii inaripoti kuwa Baraza la Usalama la Israel limefanya uamuzi wa kuanzisha Hatua nyingine ya Kulipiza kisasi dhidi ya Iran hivi karibuni. Hii ni kutokana na Jukumu lao katika Mashambulizi ya hivi karibuni ya Hezbollah, ambayo yalilenga Nyumba ya Waziri Mkuu wa...
  12. econonist

    Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

    Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria. Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945...
  13. Webabu

    Gueteres aliponda baraza la usalama la umoja wa mataifa. Aliambia limeshindwa kazi na limepitwa na wakati.Kigezo ni kushindwa kuzuia vita vya Gaza n,k

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa kusema muunda wa baraza la usalama ambalo lina wajumbe wanaotumia kura ya veto ndio umekuwa kikwazo kwa...
  14. The Supreme Conqueror

    TANZIA MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia

    MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia. Taarifa ya kifo chake imetolewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda. Kwa mujibu wa Taarifa iliyosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Ulinzi la...
  15. T

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

    Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
  16. Ritz

    Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Wanaukumbi. Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa Netanyahu amekasirika. Alighairi ujumbe kwa DC kwa sababu Marekani ilijiepusha na azimio la kutaka kusitishwa kwa mapigano. Lakini hajakasirika kiasi kwamba atakataa $3.3B...
  17. N

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa v/s Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ni yapi majukumu yao?

    Mwenye kufahamu utendaji kazi na majukumu yao kati ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Nyongeza ndogo, Je! Kura ya Turufu ni inamaana gani?
  18. M

    Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Ndugu wajumbe, Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi (2) Pili Kutoa maoni ya kuleta usitawi kwa nchi yangu (3) kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa...
  19. HERY HERNHO

    Urusi, mataifa ya Magharibi uso kwa uso Baraza la Usalama

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilikumbwa na mabishano makali kati ya Urusi inayoshikilia urais wa zamu wa Baraza hilo na mataifa ya Magharibi yanayoilaani kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine. Akiongoza kikao kilichokusudiwa kuwa mdahalo juu ya nafasi ya Baraza Kuu la Usalama la...
  20. HERY HERNHO

    Urusi yatwaa urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya hasira ya Ukraine

    Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua hiyo. Kila baraza la wajumbe 15 huchukua nafasi ya urais kwa mwezi mmoja, kwa utaratibu wa kupokezana. Mara ya mwisho Urusi ilikuwa na nafasi ya urais ilikuwa Februari 2022...
Back
Top Bottom