barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utakaa barabarani mpaka ufikishe miaka 90?

    Nyerere, pamoja na matatizo yake yote alikomboa maskini kwa njia ya redistribution of resources. (ingawa angefanya kwa njia nyingine) Hakuwa na watendaji wazuri na viongozi wenzake wakati ule hawakumulewa (ni ngumu sana kumuelewa idealist na mtu mwenye vision ya miaka zaidi ya 100 ijayo)...
  2. Serikali itazame TANROADS kwa manyanyaso haya barabarani

    Sisi madereva wa magari makubwa hususani malori tunanyanyasika sana barabarani imefikia hatua hata ya kuichukia serikali yetu inayoongozwa na mtukufu Rais Dkt. John Pombe Magufuli tunaimani sana na Rais wetu huyu kwa utendaji kazi wake wenye kuleta maendeleo nchini na mtetezi wa wanyonge lakini...
  3. Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

    Wadau heri ya mwaka mpya, Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu. Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…