barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kwenda Liwale haifaiiii

    Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via...
  2. JamiiForums Tanzania Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na linatarajiwa kuwa daraja la sita kwa urefu nchini Tanzania.
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa haya ya g55, CHADEMA inaelekea barabara ya Cuf na TLP

    Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu TLP na CUFwalianza hiv hiv na makundu makundi, ndio ukawa mwisho wa vyama hivyo mashuhuri Kemeeni makundi makundi..... bila chadema...
  4. JamiiForums Tanzania Bajaji yawaka moto mawasiliano, makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge

    AJALI imetokea katika maeneo ya makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge kuelekea Ubungo ambapo bajaji imeungua moto mara baada ya askari wa barabarani kuikamata na kutaka kuiwasha kutokana na kosa la kupita kwenye barabara ya mwendokasi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ambao...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Responded Ubovu barabara Tabata Kimanga

    Kwa Yeyote Anayehusika, Ninaandika barua hii kama mkazi wa Tabata Kimanga aliyechanganyikiwa, nikilazimika kupaza sauti yangu dhidi ya hali mbaya ya barabara ya Tabata Kimanga. Kwa moyo mzito na hasira inayochemka, ninawasiliana nanyi, mamlaka ambayo imepewa jukumu la kuhakikisha ustawi na...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya Barabara na changamoto ya umeme ni kero Mtaa wa Mganza – Morogoro

    Juzi nilikuwa Morogoro kwenye Mtaa wa Mganza, Kata ya Mindu, nilikutana na moja ya changamoto ambayo ukweli inawaumiza Wakazi wengi wa hapo. Nilichokiona ni kuwa Wananchi wengi wa hapo wanakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya Barabara hali ambayo imesababisha athari kadhaa hasa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Barabara ya banana kitunda wakati wa mvua ni kero

    Kero kubwa madimbwi mengi magari yanaharibika
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege

    Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya eneo la kwa Mzungu kata ya Saranga jijini Dar es Salaam wameonesha kwa vitendo umoja wao kwa kuchangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege ili kupunguza adha waliyokua wakiipata kutokana na ubovu wa njia hiyo hasa kipindi cha mvua. Barabara...
  9. JamiiForums Tanzania Kampuni za ujenzi barabara za mwendokasi zaomba kuongezewa muda wa kukamilisha mradi huo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, leo Jumatano Machi 26, 2025, ameongoza kikao muhimu kati ya viongozi wa serikali na viongozi wakuu wa kampuni za wakandarasi zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Nne (BRT4), madaraja pamoja na barabara nyingine...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto Mchanga Anayekadiriwa Kuwa Na Umri Wa Miezi Mitano amekutwa ametupwa kwenye Mtaro Barabara Ya Veta Ilomba

    Mtoto Mchanga Anayekadiriwa Kuwa Na Umri Wa Miezi Mitano na Sita Amekutwa Ametupwa Kwenye Mtaro Wa Kupitisha Maji Katika Barabara Ya Veta Kata Ya Ilomba Jijini Mbeya. Wakizungumza Kwa Masikitiko Makubwa Wananchi Wa Kata Hiyo Wamesema Wameumizwa, Na Kulaani Kitendo Hicho Kilichofanywa Na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mwezi ujao mwaka unakamilika toka ahadi ya serikali kujenga barabara ya kibada Mwasonga kwa lami

    Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara hii ya kibada Mwasonga. Tunasikitika kuwa sasa tunakaribia mwaka toka ahadi hiyo hakuna jipya zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa atoa miezi miwili barabara za tarura ikwiriri zikamilike

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Leopold Runji, kuhakikisha wakandarasi wanakamilisha ujenzi wa barabara za lami Ikwiriri ndani ya miezi miwili ili wananchi wanufaike na maboresho...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS yatatua hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeshughulikia kwa haraka hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama, na kwa sasa barabara hiyo inapitika kama kawaida. Asubuhi ya leo Machi 24, 2025 majira ya saa 12:30, maji kutoka milima ya Kitumbi na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa gari sio mafanikio sema serikali yetu imefanya kuweka ushuru mkubwa na barabara za siasa

    Kuna mambo unaweza kuonekana una wivu na watu ila wenye wivu na nyie ni ccm kwa nini bado mnataka kujua kwa nini wana wafanya wajinga. Swala la usafiri sio jambo la kujitafuta wala kupiga step kuwa umejua ndio umefanikiwa. Usafiri ni kitu ambacho kwa dunia ya sasa ni lazima kama simu unaweza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Momba: TARURA Yafungua Barabara Mpya ya KM 8.24 Wilayani Momba

    MOMBA: TARURA YAFUNGUA BARABARA MPYA YA KM 8.24 WILAYANI MOMBA Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na Maisha yao kwa ujumla. Mhandisi Yusuph Shabani Meneja TARURA Wilaya ya Momba...
  17. JamiiForums Tanzania Mnaotumia bajaji route za barabara kuu kama Morogoro rd kwa wakazi wa Dar kuweni makini

    Wasalaam Vijana wengi wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta hii nyeti.Wengi wa vijana hawa hawana weledi wa kutumia vyombo hivi na wengineo kama wana weledi basi ni wahuni Mara mbili napanda bajaji tunasurika na ajali...gari ziko kwenye mwendo yeye anafosi kuingia Leo aliingia kwenye lane ya...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma imeiagiza TANROADS kuwasimamia makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati

    Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega aking’aka hatua ya makandarasi wanaojenga miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, kutokamilisha kwa wakati, Bunge nalo limeiagiza Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuwasimamia kikamilifu makandarasi. Limeagiza mradi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Barabara ya Turiani - Bwange haipitiki kutokana mawasiliano ya barabara kukatika

    Bwage -Turiani.. Huku inatakiwa tuje na slogan pia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…