bangi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Lusekelo: Kwa mujibu wa Biblia mkuu wa nchi akishaongea mjadala unafungwa, hao wanaohoji baadae ni wavuta bangi

    Mchungaji Lusekelo amesema yeye ni miongoni mwa wachungaji bora 10 barani Afrika hivyo anapoongea jambo wananchi ni lazima wamuelewe. Lusekelo anasema Rais Magufuli ameitikisa dunia kwa namna alivyoweza kudhibiti Corona, kadhalika wale walioongea baada tu ya Rais kuongea na wananchi ni wavuta...
  2. JamiiForums Tanzania Malawi yahalalisha matumizi ya bangi

    Malawi imekua nchi ya hivi karibuni iliyoko Kusini mwa Afrika kuhalalisha kisheria ukulima na uuzaji wa ndani na nje wa bangi. Wanaotumia bangi kama kiburudisho wanaiona bangi kama , "Malawi Gold", yaani Thahabu ya Malawi kama wanavyoiita wenyewe, kuwa moja ya dawa nzuri. Lakini maafisa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hawa wananchi wa Chato waliolima bangi kwenye ardhi waliyopewa na Rais wachukuliwe hatua stahiki

    Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi. Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Sasa Bangi kuwa zao rasmi la biashara Tanzania

    Spika aongoza wabunge kuunga mkono. Mabeberu wanahitaji zaidi hili zao,hasa CANADA. Uganda wapewa USD500M kutoka EU kuendeleza zao la bangi. Angalizo. Tusiwaamini sana mabeberu kwa uhitaji wa hili zao la bangi. Kama vp walime wao maana wanayo ardhi. Siku wakigoma kuinunua bangi na kauli za...
  5. JamiiForums Tanzania Muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi

    Kiukweli ni muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi ilimwe na kuuzwa atleast kwa watu maalum wenye magonjwa yasiotibika na watu wenye mahitaji maalum. Vilevile pia kuna soko kubwa sana nje ya nchi kwa walimaji wa bangi ambao wanaweza kuliingizia taifa kwa kulipa kodi na kutengeneza ajira kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

    Serikali imesema tayari imepata wawekezaji wawili ambao wanataka kuwekeza nchini kiwanda cha kuchakata mafuta ya bangi yanayotumika kwa matibabu. Hayo yalielezwa jana bungeni Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angella Kairuki wakati wabunge wakichangia mijadala ya...
  7. JamiiForums Tanzania Haya mashamba ya bangi DC wa Tarime anajua?

    Kuna vijiji ukipita huko tarime unaweza hisi awako tanzania wako na nchi yao Hivi vijiji kuna mashamba mengi na kwa pembeni mtaona miwaa imezunguka Ukibahatika kuingia ndani unaweza dondoka gafla n bangi za kufa mtu Siohilo wananchi wamefikia hata kuvuna bila uwoga na kupeleka mzigo mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba ataka waliolima Bangi waruhusiwe kuiuza

    Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba amemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene kuwaruhusu wakulima wa bangi kuiuza katika kipindi cha miezi sita. Amesema kwa sasa wapo wakulima wa bangi wanaoshindwa kuiuza kwa kuwa kilimo hicho hakiruhusiwi nchini, na kutaka ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 16 imetimia tangu nilishinde pepo la uvutaji bangi na punyeto

    Leo Ni siku ya jumapili ya mwisho wa mwezi January, napenda kuchukua nafasi hii kuongea na vijana, mtakumbuka miaka ya 1990 ni kipindi ambacho vijana wa shule ya msingi walikuwa vidume.... Vidume vikongwe vikiwa vinasoma msingi....na Mimi nikiwa kijana mdogo nilijifunza tabia zao ikiwemo kuvuta...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuvuta bangi ili kutatua matatizo haya

    Honestly speaking haya matatizo yananitesa sana nayo ni kutokujiamini, sijikubali, upweke na stress kupitiliza. Ni kijana wa early 20 nimeajiriwa kampuni fulani ambayo inanibidi ni interact sana na watu hasa raia wa kigeni, but tatizo linakuja kuwa sijiamini kabisa kitu ambacho kimepelekea...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kuvuta bangi alafu muda huo huo ukatembea barabarani? Mwendo wake unauonaje?

    Huwa napenda sana baada ya kugonga msosi wa nguvu mchana mida ya saa saba, naingia chemba naulipua mjani wangu msumari mmoja tu mnene. Nikishaumaliza muda huo huo napiga mswaki kisha naelekea kwa mshkaji wangu mmoja hivi kwake pana kamwendo hivi. Sasa na lile jua la mchana mixa na mjani dry...
  12. JamiiForums Tanzania Wanavuta bangi pale Arsenal?

    Hilo ni swali ambalo Mmiliki wa liverpool John w.Henry aliwahi kuuliza hasa msimu wa 2012/2013 pale ambapo Arsenal walitaka kumsajili Suarez kwa Paund mil. 40 wakaambiwa waongeze hela wakaongeza Paund mil. 1 na kuwa 41! Yeye W. Heny aliwaona kama mateja wasiojielewa wanataka nini!! Nimeikumbuka...
  13. JamiiForums Tanzania Zambia yaridhia kufanyika kwa biashara ya bangi

    Serikali ya Zambia imehalalisha kilimo cha bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba. Kwa hatua hiyo, taifa hilo linakuwa la hivi karibuni kabisa katika kuridhia matumizi ya bangi. Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji mkuu wa serikali ya Zambia, Dora Siliya, idhini ya kufanya biashara ya bangi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini watumiaji wa bangi wa Tanzania tuna midomo myeusi?

    Kila nikijiuliza sipati jibu, juzi hapa nimekutana na ndugu yangu hatujaonana kitambo sana. Katika kupiga stori akaniambia kati ya sigara au bangi kuna kimoja unatumia. Nikamuuliza umejuaje? Akasema nimeona tu mdomo mweusi. Sasa hawa wenzetu kina Bob Marley, Snoop Dogg, Wiz khalifa, Obama, Lil...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika kuongoza kwa kilimo cha bangi ya matibabu

    Kundi la wanasayansi, watafiti na wajasiriamali limesema bara la Afrika linaweza kufikia kuwa mzalishaji mkubwa wa bangi inayotumika kwa ajili ya matibabu. Jordan Curl; mtaalamu kutoka Kituo cha Uwekezaji na Utafiti wa Bangi cha nchini Israel amewaambia wajumbe wanaohudhuria mkutano wa...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yataja mikoa vinara uvutaji bangi

    Serikali imesema matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi bado ni tatizo nchini, huku yakishika kasi katika mikoa ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma. Wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini), Ali Keisy (Nkasi Kaskazini) na aliyekuwa Mbunge wa Arumeru...
  17. JamiiForums Tanzania Mara yatajwa kinara kilimo cha bangi

    MATUMIZI ya dawa za kulevya aina ya bangi, yametajwa bado ni tatizo nchini, huku mkoa wa Mara ukiwa ni kinara katika kulima cha zao hilo ikifuatiwa na Tanga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, ndiye aliyebainisha hayo bungeni...
  18. JamiiForums Tanzania Video : Afande Sele alilia bangi kuhalalishwa

    Msikilize kwa makini
  19. JamiiForums Tanzania Hizi Hapa Faida za Bangi ikitumiwa ipasavyo

    Mmea wa bangi una matumizi mengi ya matibabu, ujenzi, kutengenezea dizeli oganiki na pia hufumwa nyuzi zinazotumika katika ushonaji. Utafiti kuhusu mbangi unaendelea kufumbua matumizi mengine zaidi. Shida yake kubwa ni kusababisha uraibu. Majani ya mmea wa kike wa Mbangi hutumika kutengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…