balozi polepole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DodomaTZ

    GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama. Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
  2. U

    Balozi Polepole kwa mujibu wa Sheria unapaswa kukabidhi rasmi ofisi ya ubalozi, unajua ni kosa kubwa kisheria ukishindwa kufanya hivyo

    Ni ushauri wa bure kwa mujibu wa Sheria na kanuni za umma. Kushindwa kufanya hivyo kunaweza kuhesabiwa ni jinai na hivyo waweza ingia kwenye shida
  3. Yoda

    Polepole huna sababu ya kukimbia nchi, ubalozi wa Cuba ni cheo kidogo sana

    Polepole baada ya kukichafua amesema yeye hatakimbia nchi, huu unaweza kuonekana kama ujasiri mkubwa sana kwa baadhi ya watu lakini kwa wenye fikra pana hakuna ujasiri wowote kwani hakuna jambo kubwa sana ambalo limefanywa na Polepole , yeye amekubali kupoteza mshahara tu na hii imekuwa rahisi...
  4. R

    Balozi Polepole naye anadai reforms akiwa ndani ya CCM!

    Salaam! Kwa andiko ulilloandika Jana Mh Polepole, ni dhahiri kuwa, watanzania tumekusamehe madhambi yako yote ikiwamo Ile ya kuturingushia v8 tulliyokununulia kwa pesa zetu. Baada ya Mh Gwajima,Mpina,Padre Kitima,Lissu, sasa ni zamu yako ndugu Pole Pole, ujasiri huu ni mkubwa,tunakupongeza...
  5. F

    Kitendo cha balozi Polepole kujiuzulu kimeivua nguo CCM kimataifa lakini ni nini kinampa Polepole ujasiri huu?

    Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia. Tayari...
  6. R

    Balozi Polepole kapotelea Cuba, ameungana na Kabudi na Dr. Bashiru Ali kujisomea majarida. Maskini kutoboa si kazi ndogo!

    Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea. Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme...
  7. JF Member

    Salamu toka kwa Balozi Polepole

    Huyu jamaa anajielewa sana sema watu fulani wanamchukulia poa tu. Ipo siku atakuwa pale.
  8. Carlos The Jackal

    Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

    Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika! Ni kweli wazuri Hawafi. Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
  9. benzemah

    UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
Back
Top Bottom