Deodatis Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumamosi, Aprili 5, 2025, mjini Songea, mkoani Ruvuma.
Balile, ambaye alikuwa mgombea pekee, ameendelea kuaminiwa na wanachama wa...